Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
hiyo mvua mliyokuwa mnasema imekatika au?? vipi attendance yya watu lakini?? ratiba ikoje kwenye jimbo hilo?
Mwenzao mwita25 alishajivua gamba....Chadema mwendo mdundo, kina Rejao washmba tu hawana la kusema, wakati umefika sasa wananchi tunashika hatamu kwa kuwaondoa mafisadi, zama za kunyanyasana zimeisha sasa wamebaki wanatapatapa, subirini 2015 ndo mwisho wenu kina Rejao
Mkutano umemalizika kwakweli mwitikio wa watu ni mkubw mno pamoja na mvua kubwa ilionyesha. Hakika saa ya ukombozi ni sasa. Peopleeeeeez!!!!
Sanga umekuwaje? what do you mean "You we also a Looser"? Ukisema also unamaanisha it is true DR ni looser. Can you prove this? Since when He left CCM about 15 Years ago amekuwa akikivua nguo hiki chama moja baada ya ingine sasa kiko uchi kabisa soon kitakuwa uchi wa Mnyama. Na anakivika CHADEMA mavazi ya thamani, Kama Mwanamke mrembo sana CHADEMA inakimbiliwa na kila mtanzania mwenye kiu ya Mabadiriko, how do you associate such kind of a person wirh Rejao or His Boss Kikwete, How?
Jamani wote mliomgongea like huyu jamaa naomba m dislike haraka sana kwani huyu jamaa kapost umbea . jioni hii niko na Lema hapa Arusha Njiro complex. huu aliopost hapa ni uongo wa hali ya juu . asanteni

Watu wasipotoshe, Ni kweli Dr Slaa alikuwa Kahama.
Kesho au kutwa anaingia Mwanza