Dr Slaa na Godbless Lema kuhutubia mkutano wa hadhara Kahama mjini leo

Dr slaa anasema amepewa waraka toka kwa polisi wenye kurasa nane ili awasaidie ktk kero zao. Anaendelea kueleza serikali inafanya manunuzi ya mabomu ya machoz pia magari ya maji ya kuwasha wakati wanaish ktk mazingira magumu huko kota.
 
Hayawi hayawi hatimae Dr slaa, G.Lema na Makamanda wengine kufanya mkutano leo hapa KAHAMA. Nipo hapa kahama na nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea. Kwa sasa makamanda wapo vijijini wakitoa dawa na kuanzia saa kumi watakua hapa mjini kahama. Yatakayojiri yatafuata.

Kila la kheri wapiganaji
 
Anaelezea jinsi wabunge wa cdm walivyouliza posho za polis za sh laki na nusu, lakini IGP aliwatisha polisi watakao hoji posho izo ni wahaini.
 
Dr slaa amepandishwa rasmi jukwaani. Anazungumzia operation sangara alivyokimbizwa toka maswa hadi khm kwa gari la polisi.
 
Dr slaa anaelezea nini malengo ya ziara yake. Pia anasema anataka kuimarisha chama ndani na nje ktk ziara yake. Anaelezea mafanikio ya halmashauri saba zinazoongozwa na cdm. Saizi ana elezea suala katiba.
 
dr. Slaa anamkosoa baba Mwanaisha kuhusu Muungano, anasema CHADEMA msimamo wake ni kuujadili na wananchi waamue
 
dr. Slaa anasema JK muda huu yuko Brazil nchi zingine nyingi wametuma mawaziri
 
Dr anasema kikwete anatekeleza ilani ya cdm juu ya uundwaji wa katiba. Anasema kikwete atekeleze uundwaji wa katiba uwe mali ya watz wote. Anasema wananchi ndio wanaopaswa kutunga katiba. Pia anasema kikwete ameshateua tume kwaiyo hapaswi kuingilia masuala ya tume. Anasema rais asiweke mipaka ktk kujadiri suala la muungano. Anasema awaache wtz waamue wanataka muungano wa aina gani. Anaelezea safari ya kikwete brazil hakupaswa kwenda yeye maana mataifa mengine yametuma mawaziri tu. Anaelezea nchi ya uingereza wazir mkuu akizidisha mawaziri ktk serikal yake anapaswa kumripa anayemteua.
 
anaelezea jinsi Kikwete alivyoruhusu posho kwenye baraza na kuikana baadaye ili kupata public sympathy
 
dr. Slaa anaelezea jinsi JK na magamba walivyoandika barua kwa RC na DC ili kulinda maslahi ya magamba kwenye katiba
 
dr anaelezea jinsi Maige alivyoiba masanduku ya kura halafu akachaguliwa kuwa Waziri
 
Back
Top Bottom