Dr Slaa na Augustino Mrema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa na Augustino Mrema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUKUTUKU, Oct 5, 2010.

 1. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  kwa wale wana jf waliokuwepo na kushuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka 1995,ambapo Mrema alikuwa tishio kubwa kwa CCM,mpaka ikafika wakati baba wa taifa mwalimu Nyerere aliamua kuingilia kati na kumnadi Mkapa, akihofia Mrema kushinda uchaguzi.Kwa sasa Dr Slaa ni tishio kubwa kwa CCM,na kama CCM hawatakuwa makini Dr Slaa anaweza kushinda uchaguzi.
  Swali kwa wana JF,yupi kati ya Dr Slaa na Mrema wa 1995 ni maarufu na tishio zaidi kwa CCM?
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Mwaka 1995 Mrema alikuwa ni tishio zaidi, ila tofauti na leo ni kuwa mwaka huo kulikuwa na mtu anayeitwa Nyerere, na mgombea wa CCM wakati huo Mkapa alikuwa ni mtu mpya kabisa na hakukuwa na rekodi yoyote ya kumhusisha na rushwa. Hivyo Nyerere akatumia kigezo hicho cha mkapa kuwa Clean, na uwezo wake binafsi wa kushawishi, na matumizi ya mabavu kidogo kuirudisha CCM madarakani. Leo hii kitu kilichopo ni mabavu tu, hakuna Mr clean, hakuna Nyerere na mbaya zaid ni kuwa leo hii watu wana maumivu makubwa sana ya kiuchumi kuliko ilivyokuwa mwaka huo wa 1995 hasa baada ya wageni na watu wachache wa CCM kuwa wanatesa sana mitaani ilihali wananchi wengi wanashindia mlo mmoja.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Leo hii familia ya JK ndo imetelekezwa kufanya kazi ya Nyerere.
  Just imagine kuna mafanikio apo kwa CCM?
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Usingizi na kifo.....
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi Mfano Nyerere akifufuka atasimama jukwaani kuwa ambia watanzania Wapigieni CCM kura?
   
 6. M

  MC JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Akifufuka atakufa tena baada ya muda mfupi kwa hali ilivyo mbaya ndani ya CCM, kwa hiyo muda wa kuwaambia watanzania chochote hautakuwepo!!
   
 7. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Well said mkuu, nimekugongea
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  :tonguez:labda chadema ingekuwa ndo sisiemu afu sisiemu imekufa!!
   
Loading...