Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Willibrod Peter Slaa pamoja na aliyekuwa mgombea ubunge wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.

Watu wote munakaribishwa sana.
 
Rais wa WATU wa Tanzania Dr. Wilbroad Peter Slaa pamoja na Mbunge wa WATU wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.

Watu wote munakaribishwa sana.

Nimekusahihisha kidogo Mkuu.

Source?
 
Ninahisi machozi yatanitoka nikimuona dr na fred pamoja. Tujitokeze kwa wingi siku ya tukio na tuwape moyo
 
Tupo pamoja..naitaji kumsikia rais wangu atasemaje...... go slaa go..:hippie:.

CHADEMA VEMA:yield:
 
Dr. Slaa will always ataendelea kuwa chaguo la watanzania na huyo mwizi wa kura hapo Ikulu ataendelea kuwa paka shume tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom