Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

Teh teh teh teh!!!
Kishongo umenikumbusha masterling wa movie walivyo. Huwa wanaumizwa na watu wao wa karibu na wanaowapenda sana na akitokea mtu akawaambia ukweli hukasirika na kumchukia. Bahati mbaya hufahamu ukweli mwisho wa movie halafu wanajifanya kureact ile mbaya. Lakini wameteswa muda wote.
Unajua nini, naogopa usije kuwa kama hao ukaja kugundua siku yako ya mwisho.
WAKE UP BUDDY!!!

Mwigulu gani? Wa Makunda ama?
 
cuf hawana shida yakusimama wala kuungana na chama chochote,cuf itasimama kama cuf na daima cuf itaendelea kuwepo,hao chadema nimoto wakifuu unalipuka unazimika gafla,ngoja zito nambowe waanze kuparurana kuwania uenyekiti na hao kina mbowe na wachaga wake wanajifanya miungu watu ktk chadema kilakitu wanataka wao,hata uongozi waupinzani
bungeni alitakiwa awe zito,udikteta wakina mbowe wakang'ang'ania kwaulafiwao,chadema kunabomu litalipuka wakati wowote,tuvute subira natumuombe mola atupe uhai mtayaona mengi yanakuja,

Mmmh!!!"ego"
 
yani unaweza kujikuta unachukua sheria Mkononi lol
Ngoja nkaangalie Bunge mie...:A S angry:
 
Wa mikoani tunaomba chonde chonde, mkutoano huo urushwe live. Kama kuna uwezekano wa kuchangia gharama za kurusha live tutaarifuni. Viongozi wa CHADEMA chonde chonde fanyeni hima tupate kile atakachosema raisi wetu.
 
Back
Top Bottom