Elections 2010 Dr. Slaa, Mpendazoe Kunguruma Tabata - Liwiti Jumapili Nov 14

Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na kupata kiongozi wa upinzani kwani nia rahisi sana kupata kura milioni tano na kuchukua uongozi kambi ya upinzani.jambojingine muhimu wana Jf tuache ushabiki usio na maana,dharau na udini. wengi wenu mnapenda sana kudharau dini za watu wengine,kuona chadema ndio chama pekee cha upinzani na viongozi wa vyama vingine wote si chochote,mfano tangu mwaka 1995 cuf wamekuwa wakishinda zanzibar na kunyimwa ushindi sisi wana tunaona si tatizo letu sasa cuf wameona watu bodo siasa zipo mbali ni bora kutia mikataba na kungana pamoja na ccm ili kuongoza pamoja,mnanza kuwaona kama wasaliti.ni matumaini yangu Cuf na Chadema wataungana na kusimamisha rais mmoja .

wahenga walisema ukimuona kobe kainama ujue anatunga sheria.i hope ndicho kinachoendelea.
Lakini pia ni uamuzi mzuri kutulia badala ya kukurupuka na kuongea kwani maneno yanagharimu sana.
Na ninavyomuelewa Dk wa Ukweli huwa hana papara anajipanga tusubiri,Tuachane na propaganda za ccm ambazo zinachochoe haya yote.Huu ni wakati wa kila mtu kutafakari wapi tulipo na Mkwere anatupeleka wapi.

KITAELEWEKA TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Mbona viongozi wa chadema wapo kimya kuhusu uchaguzi uliopita hii inatufanya sisi watu tunaofatilia maswala ya siasa tuone kwamba ccm hawakuvuvuzela matokeo yoyote na ushindi wao ulikua makini tu,kwa viongozi kutoa tamko rasmi kuhusu uchaguzi itatusaidia kuanza kujipanga upya miaka mitano na kupata kiongozi wa upinzani kwani nia rahisi sana kupata kura milioni tano na kuchukua uongozi kambi ya upinzani.jambojingine muhimu wana Jf tuache ushabiki usio na maana,dharau na udini. wengi wenu mnapenda sana kudharau dini za watu wengine,kuona chadema ndio chama pekee cha upinzani na viongozi wa vyama vingine wote si chochote,mfano tangu mwaka 1995 cuf wamekuwa wakishinda zanzibar na kunyimwa ushindi sisi wana tunaona si tatizo letu sasa cuf wameona watu bodo siasa zipo mbali ni bora kutia mikataba na kungana pamoja na ccm ili kuongoza pamoja,mnanza kuwaona kama wasaliti.ni matumaini yangu Cuf na Chadema wataungana na kusimamisha rais mmoja .

Ndugu yangu hayo mawazo yako ya ukoko hapa hayawezi kufanya kazi. Chadema kamwe haitaweza kuungana na Cuf kusimamisha mgombea urais kwanza kabisa Cuf haina mgombea urais, Lipumba tayari ameshapauka na hana mpya zaidi ya lecture za uchumi pili Cuf haina sera makini za kuwakomboa watanzania, tatu Cuf ni tawi la CCM au niite CCM(B) kwa mawazo hayo mgando nakushauri ujiunge na chadema ili kuongeza nguvu katika kuleta ukombozi nchini.
 
Najiuliza hivi, kule Zimbabwe ZANU iliungana/ilishirikiana na chama gani kikazaliwa ZANU-PF? Nini kilichotokea baadaye? KAFU wanalielewa hilo? Nawatangulizia pole za dhati kwa wanaKAFU.
 
Ataongelea mambo yasiyofanyiwa utafiti na kuyaita mabomu.
Hii ndiyo kawaida yake.

Hivi unaelewa unachokisema au unajua umaarufu na imani aliyoipata kwa watanzania imetokana na nini!!?

Tatizo ni kwamba umelogwa halafu mchawi aliyekuloga kafa nani atakusaidia sasa zaidi ya kuendelea kuwa zezeta na mropokaji.
tafadhali kaa kimya kama huwezi kuhudhuria mkutano wa mheshimiwa Rais wa tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Wa maukweli siyo wa zawadi na wizi

Tena wana jamii wote wahudhurie na kuunga mkono bila kujali vibaraka wa uwt.feki.
 
Teh teh teh teh!!!
Kishongo umenikumbusha masterling wa movie walivyo. Huwa wanaumizwa na watu wao wa karibu na wanaowapenda sana na akitokea mtu akawaambia ukweli hukasirika na kumchukia. Bahati mbaya hufahamu ukweli mwisho wa movie halafu wanajifanya kureact ile mbaya. Lakini wameteswa muda wote.
Unajua nini, naogopa usije kuwa kama hao ukaja kugundua siku yako ya mwisho.
WAKE UP BUDDY!!!
 
Aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Willibrod Peter Slaa pamoja na aliyekuwa mgombea ubunge wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.

Watu wote munakaribishwa sana.
quote_icon.png
Originally Posted by Ng'wanangwa
Rais wa WATU wa Tanzania Dr. Wilbroad Peter Slaa pamoja na Mbunge wa WATU wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya shule ya Msingi Liwiti iliyoko Tabata.

Watu wote munakaribishwa sana.
Nimekusahihisha kidogo Mkuu.

Source?

Angalizo, huruhusiwi kubadili neno/herufi ndani ya post ya mwenzako ulichotakiwa ni kuandika masahihisho nje ya post.
 
Hizi taarifa sio za kweli hatas kidogo na aliyezitoa anapotosha umma, Dr.Slaa tuko naye huku Dodoma NA MPAKA SASA ANATOA MAFUNZO KWA WABUNGE WAPYA WA CHAMA ,na hatarajii kurejea DSM kesho wala kesho kutwa.
 
Are you sure with the news?siyo tunaenda halafu nothing is there.Kindly be sure and report back to us.Thanks

According to his facebook sasa sija uhakika zaidi kama hiyo fb account ni yake au ya mshabiki kwa vyoyvyote vile chama lazima kitatoa tamko haiwezi kuwa kimyakimya....
 
Tatizo letu hapa ushabiki wa siasa tumeanza hivi karibuni katika siasa muda ni kitu muhimu sana jinsi chadema wanavyochelewa ndivyo ccm na rais wao anavyozidi kujimalisha ni ndivyo watu wengi wanapopoteza hamasa ya kushiliki .Kenge usipende kuropoka kama umekunywa maji ya ****** nili umenisikia nikisema chadema watamwaga damu?.mkakachuaji 1 ni lazima kama tunataka upinzani wa kweli ni lazima mungano wa wapinzani ufanyike ili tuweze kuiondoa ccm vinginevyo hapa ccm wataendelea kupeta miaka yote we fikiria kama mwaka huu wangemsimammisha DR peke yake mambo yangekuaje hata kwa matokeo yaliyotolewa na ccm ingekuwa tuko mbali au kwa pamoja tungeweza kupata kura zaidi.
 
Slaa ajilipue tuu ili dunia ijue utumbo wetu kwenye uchaguzi uliopita ili tuondokane na huu unafiki wa kwenda kusuruhisha migogoro Kenya wakati yetu inatushinda.
Na hawa maaskofu wanenda mpoza ili iweje,kama kulikuwa na wizi wa kura na ushaidi upo sioni haja ya kuficha kila mtu ajue ili tukilizwa na hii serikali tunajua ata uwepo wake ulikuja kwa mizengwe
 
Kukawia kunatokana na tabia ya maaskofu ambao nasikia wametumwa tena na JK kwa Slaa kumsihi asizitoe hizo nakala za matokeo (za vituoni na za NEC).
If that is true then it is speaking loud that they are NOT Maaskofu!
Maaskofu wametumwa na Mungu na sio rais
 
mkakachuaji 1 ni lazima kama tunataka upinzani wa kweli ni lazima mungano wa wapinzani ufanyike ili tuweze kuiondoa ccm vinginevyo hapa ccm wataendelea kupeta miaka yote
Thank you for that! Tatizo ni kuwa kuna upinzani feki!
Sasa muungano wa CCM B na upinzani hauleti any good result!
 
Unasema viongozi CDM wamekaa kimya? sijaelewa kabisa unamaanisha nini! unadahani inchi hii itakombolewa kwa kupiga kelele? tunahitaji mikakati madhubuti yenye mwelekeo wa kujenga na kukomboa taifa.Unadhani lyatomga kilimshinda nini pamoja nakuwa nawafuasi wengi kama chaema ya leo kwaidadi sio umakini.Nikuto kuwa na busara uvumilivu na umakini ndivyo vilivyo mpeleka leo lyatonga kugombe ubunge kupitia TLP wakati mfukono anatembea na ilani ya uchaguzi pamoja nakatiba ya sisiemu.siasa zilizo jengwa nasifa ya wafuasi lukuki ndizo zilizo mponza layatonga.Leo Dr. Slaa analaumiwa pia hata na wafuasi wake kwakukaa kimya yaani kuto ropoka kwasababu yeye hataki sifa zakijinga, nakama msomi anatumia taaluma yakeke kulikomboa taifa.Kuna bwanammoja anasema CDM tumieni mfumo wa nyerere kujenga chama mimi napingana naye na sema mfumo huo umepitwa nawakati na wala hautakuwa natija kwawakati huu.Chama kina weza kikawa na wanachama mia moja tuu wenye nia dhabiti ya kutoa mwelekeo na wananchi wakikubaliana na mwelekeo huo lazima mafidi wataondoka madarakani.Mimi nasema nchi tuna anza kujenga Dodoma mjengoni anaye bisha aniambie nimjuze kwanini sitaki safari zakwenda kijijini eti kujenga chama
 
Hizi taarifa sio za kweli hatas kidogo na aliyezitoa anapotosha umma, Dr.Slaa tuko naye huku Dodoma NA MPAKA SASA ANATOA MAFUNZO KWA WABUNGE WAPYA WA CHAMA ,na hatarajii kurejea DSM kesho wala kesho kutwa.

(-)x(+)= (-) so, (No)(Yes)=No. Can any other person confirm No or confirm Yes?
 
Sasa kwa nini wasiongee na waandishi wa habari?
Manake itakuwa ndo mara ya kwanza Dr kuongea na wananchi
 
Back
Top Bottom