Dr.Slaa, Mdee na Sugu ndani ya Makumira sasa hivi

vipaumbele vilikuwa ni ardhi ya wameru waliyopewa wazungu zaidi ya ekari 7000 na wanailipia kodi ndogo.
MAJI ya vyanzo vyao yaliyopelekwa Monduli

Ajira kwa vijana na kuongezewa mishahara kwa wafanyakazi wa mashamba ya maua

AFYA,ambapo katika kata zote Arumeru Mashariki zina zhanati nane tu,na kuna wakati wamama wanajifungua wakiwa na tochi kwa kukosa pesa ya kupeleka Mafuta ya taa zahanati usiku
 
"not supported by server"

ndio inanizingua kihivyo kwa kimeo changu
 
Back
Top Bottom