Dr. Slaa+Mbowe+Zitto Kabwe CCM haiwezi kupona 2015!

Mimi naamini Hawa watu 3 ni utatu mtakatifu wa CHADEMA; wakifanya kazi kwa ushirikiano CCM hawawezi kutamba 2015. watachakazwa vibaya! Ndo maana kuna juhudi za kuwagombanisha! Nawakilisha!

Hapo kwenye red tafuta neno jingine la kuandika usiwe mjinga kama wagombea wa CCM!! Neno hilo liliwagharimu wengi waliofananisha hivyo. Kuna mgombea kule kwetu alisema hivyo hivyo yeye akaenda mbali zaidi kwa kusema Kikwete ni Baba, mgombea ubunge ni Mwana na yeye mgombea udiwani ni Roho mtakatifu! Heee mwotto (kama siyo moto) ulimwakia siku ya kura chaaaali!!!

Kwa hiyo na wewe acha kuwa juha!
 
Shekh Yahya aliyekuwa akiwapa majini ya kuwalinda amekwisha kufa, sijui mtafanyaje 2015!
Pata darsa kidogo, litakusaidia kuwaelewa Waislaam:

Qur'an
2:255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
 
Pata darsa kidogo, litakusaidia kuwaelewa Waislaam:

Qur'an
2:255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.

Wewe mwenyewe huelewi,je wawezaje kumwelimisha mwenzako ili hali huyajui uyandikao?Funguka kijana acha njaa.
 
wanauamsho hatuwapi tena kuongoza nchi maana mmeweka majini na mashetani kuongoza ikulu sasa msahau kabisa mrudi kwenye madrasa yenu elimu dunia kwishney
 
si ndio wewe ulie sema bila Mbowe CDM ingekuwa history. Usha sahau mapema hivi?

Nashukuru kwakuwa na wewe unautambua vyema unafiki wa molemo,tatizo hana hoja na ndio maana alishindwa na mzee kule vunjo,ni ni mwepesi sana wakukurupuka na ni mwepesi sana kusahau alichokisema.
 
Combination hiyo ilikuwa muhimu sana tunapoelekea uchaguzi mkuu,tatizo mbowe na slaa wanaendekeza ukanda.hata hivyo zitto anajimudu,jeshi la mtu mmoja.
 
Mfano, CDM wakashinda urais lakini hawakupata kura hata moja Zanzibar, watasema wanakubalika Tanzania?

Kula hata tukipata dsm mil 3 arusha lak 8 mby lak 6 mwz lak 5 klm la4 kgm lak 4 shy lak 1 znz 20 achlia mbali mikoa mingine fanya jumlisho alafu jichomoe hicho kijiti ulichokalia kitakusababishia mimba ya ajabu uzae magamba ya mamba au magamba ya miti
 
CCM itaondolewa na nguvu ya umma, na sio watu watatu tu. Udhaifu huu ndio unafanya watu wafikirie kuwa labda mtu fulani asipogombea chama hakitashinda, au mtu fulani akihama chama, basi chama kitakufa. Mbowe + Zitto +Slaa +Others, peke yao, hawana ubavu wa kuing'oa CCM.

Labda watu wengine hawajui kuwa kuna watu wengi wenye uwezo mkubwa wa kisiasa hata kuwapita hawa tunaowaona sasa, lakini, ama muda wao wa kutambuliwa bado haujafika, au hawajapata fursa ya kutambuliwa na chama.

Uongozi ndani ya vyama vya siasa vya upinzani ni sawa na habari katika kitabu cha Kutoka katika Biblia; ambapo inasemekana kati ya wana wa Israel wote waliotoka utumwani Misri, ni Yoshua tu ndiye alivuka mto Yordani na kuifikia nchi ya ahadi Kanani. Maana yangu si kwamba kina Slaa + Mbowe + Zitto +Others hawatauona ukombozi wa nchi hii (Kanani); bali nina maanisha kuwa viongozi wetu wa CHADEMA wanatakiwa kutojiona wao ndio chama bali wanachama ndio wawekwe kwenye nafasi ya kwanza.

Nasi wanachama (nikiwemo mimi) hatuna budi kuondoa kasumba kuwa bila fulani hakuna chama. Binafsi, nakuwa na wasi wasi kuwa mwanachama wa chama cha namna hiyo. Chama chenye nguvu ni kile kilicho kamilika kila kona na ambacho viongozi wake, hata mmoja wao, hawajioni kuwa ndio injini ya chama. Mfano, tabia na mawazo ya baadhi ya viongozi wetu kufikiria kuwa mgombea urais kwa tikeni ya CHADEMA ni lazima atokane na Sekretariati hainifurahishi hata kidogo, na haioneshi mfano mzuri kwa chama kikubwa kinachojiandaa kuchukua madaraka ya nchi katika miaka mitatu ijayo.

Ikumbukwe ANC ilianzishwa mwaka 1912 na Mandela alizaliwa mwaka 1919. Chama makini kiige mfano huu.
 
Combination hiyo ilikuwa muhimu sana tunapoelekea uchaguzi mkuu,tatizo mbowe na slaa wanaendekeza ukanda.hata hivyo zitto anajimudu,jeshi la mtu mmoja.

siyo uongo mkuu naunga mkono hoja.
 
siyo vizuri kumtaja mtu aliyekufa kwa njia ya shirki ambayo hauna uhakika nayo hapendezi mkuu jaribu kubadilisha maneno yako nadhani hata dini yako inazuia kuongea uongo, na kama kweli inabidi uwe na vidhibiti hata mwizi akishikwa kama kaiba huwa anakuwa na kidhibiticha cha kitu alichoiba siyo safi mkuu.
 
Teh teh teh. CCM inawagombanisha? kweli wajinga , hawafai kuongoza nchi kama wanaweza kupelekwa pelekwa hivyo wakakubali?
Hivi kumbe ni CCM iliyomwabia ZITTO atangaze nia ya urais 2015?
Nilikuwa sijui, kumbe CCM ndiyo iliyomwabia SLAA, bwana mkeo JOEPHINE akikataliwa kutengeneza mfumo wa fedha wa CDM ukomae hadi kieleweke?
CDM jamani tuambieni sisi makamanda jinsi ambavyo fedha zinazopatikana kwenye harambee, kutoka kwa wahisani wa nje na zile za ruzuku zinavyotumia. Je ni viongozi wote wa CDM wanazifaidi? au huu utatu ni wa kifedha? Samahani kaka yangu ZITTO kwa kukuunganisha humo ni kwa sababu tu umesingiziwa na mleta mada kuwa nawe unatengeneza huu utatu, amefanya hivyo makusudi ili kuonesha kuwa hakuna ubaguzi wa kikabila na udini.

CDM, Makamanda wenzangu acheni hii inami mnayoiamini ya upendeleo wa vyeo ndani ya chama. Niulize kwa mara nyingine tena, hivi urembo ni sifa mojawapo ya mwanamke kupata cheo ndani ya chama chetu? Mbona naona kama hawa akina Kiwelu, Abwao, Lucy, Nyerere wangeweza kufanya shughuli za urembo? Kuna nini hapa na mwenyekiti wenu?
Mara nyingi nasikia sana bungeni maneno haya: "KWANZA KABISA NAPENDA KUMSHUKURU MSEMAJI WA KAMMBI YA UPINZANI KWA KUNIAMINI NA KUNIPA NAFASI HII" ni uaminifu gani huu ambao unakuwa unaongelewa na hawa akina mama?

Naomba kuunga mkono hoja!kumbe ndio maana kwenye harambee waliwaalika warembo wengi hata wale waliokuwa wamebeba makopo yakukusanyia fedha walivaa mavazi kama wanamitimdo ,inaonyesha urembo ni kigezo kimojawapo chakuwa mbunge special seat!teh teh!
 
Hapo kwenye red tafuta neno jingine la kuandika usiwe mjinga kama wagombea wa CCM!! Neno hilo liliwagharimu wengi waliofananisha hivyo. Kuna mgombea kule kwetu alisema hivyo hivyo yeye akaenda mbali zaidi kwa kusema Kikwete ni Baba, mgombea ubunge ni Mwana na yeye mgombea udiwani ni Roho mtakatifu! Heee mwotto (kama siyo moto) ulimwakia siku ya kura chaaaali!!!

Kwa hiyo na wewe acha kuwa juha!

Dah watu mko sensitive na dini, okay tufanya mapacha watatu basi, maana hiyo nayo ni maarufu Tanzania!
 
unapomtoa zitto unataka umuweke nani sasa??ucwe unacomment ki2 kwa chuki binafsi,kuna nafasi kubwa sana ya zitto ktk chama,

Mimi sasa hivi ni Pro Dr. Slaa+Mbowe+Zitto. I want these people to work together, sina maana kuwamba siwakubali wengine lakini hawa ndo top 3 ya chadema! na kama mgawanyiko utatokea kati ya watu hawa watatu basi mtikisiko wake utakuwa mkubwa sana! tutake tusitake!
 
Back
Top Bottom