Dr. Slaa, Mbowe, Lissu, Zitto/JF Members: Anger is Not a Solution to Our Problems

Hakuna amani pasipo na haki- mimi ninaamini mabadiliko yanakuja nimesoma post ya bongo tz mpaka mwisho na comment za wengine nimeona kuna mawazo chanya mengi hata waberoya ameshindwa kujitenga na ukweli pamoja na unafiki wake. Bongo tz naomba nikuhakikishie wewe na mimi na wengine wote ndani ya jf, na nje ya jf, pamoja na mwanahalisi,rais mwema, mwananchi, majira, tukiongozwa na people's power party (chadema) tutawasha moto. Ninaipenda chadema kuwa inaamini katika umma, na sasa ina support ya wasomi kama azaveli, shivji, na majority ya wanazuoni. Nina hakika moto utasonga mbele na tutafanya makubwa mojawapo ikiwa ni katiba mpya na tume huru. Ninakubaliana kwamba kwa kuwa ccm hawataki mabadiliko lazima pachimbike ili mabadiliko yaje. Tunajua ccm ni wachawi wa propaganda lakini huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote enough is enough. Lissu, mbowe, zitto, mnyika, mabere, mdee, wnje, nyerere, na wengine, nguvu ya umma ipo nanyi.
 
The starting point is so obvious and easy - we sign a petition then we ask one of the MPs to submit our petition to the next Bunge session as Bunge standing orders permit. If dismissed, from there the real demand will follow including slapping those who do not want this change. With a operation Sangara style like, we will come out and sign that petition, simple.

I've been angered with CCM government since I joined secondary education and made some vows - can't mention them here!!!!!!!!!!!!!!
Man, you are a genius! How did you know that my next move will precisely be that sort of things! Jeez, ama wewe ni ile jamaa ya wikileaks...lol!!!
 
Hakuna amani pasipo na haki- mimi ninaamini mabadiliko yanakuja nimesoma post ya bongo tz mpaka mwisho na comment za wengine nimeona kuna mawazo chanya mengi hata waberoya ameshindwa kujitenga na ukweli pamoja na unafiki wake. Bongo tz naomba nikuhakikishie wewe na mimi na wengine wote ndani ya jf, na nje ya jf, pamoja na mwanahalisi,rais mwema, mwananchi, majira, tukiongozwa na people's power party (chadema) tutawasha moto. Ninaipenda chadema kuwa inaamini katika umma, na sasa ina support ya wasomi kama azaveli, shivji, na majority ya wanazuoni. Nina hakika moto utasonga mbele na tutafanya makubwa mojawapo ikiwa ni katiba mpya na tume huru. Ninakubaliana kwamba kwa kuwa ccm hawataki mabadiliko lazima pachimbike ili mabadiliko yaje. Tunajua ccm ni wachawi wa propaganda lakini huwezi kuwadanganya watu wote wakati wote enough is enough. Lissu, mbowe, zitto, mnyika, mabere, mdee, wnje, nyerere, na wengine, nguvu ya umma ipo nanyi.
Amen, brother Denyo!!!!
 
How can you say the election was not fair without producing any evidence?

Anybody can say anything he wishes, thinks or like but without evidence ni kama kumpigia mbuzi guitar.
 
How can you say the election was not fair without producing any evidence?

Anybody can say anything he wishes, thinks or like but without evidence ni kama kumpigia mbuzi guitar.
Wewe mkuu unaishi sayari gani? Hivi kweli unaamini maelezo ya NEC kuwa watanzania waliojitokeza kupiga kura nchi nzima mwaka huu ni asilimia 43 tu, hali miaka yote (tangu kipindi cha mfumo wa chama kimoja), asilimia ya watu waliowahi kupiga kura, haijawahi kushuka chini ya asilimia 65? Na kwanini ilikuwa asilimia ndogo kiasi hicho wakati, kando na chaguzi za siku za nyuma, huu ndio ulikuwa most contested election tangu mfumo wa vyama vingi uingie nchini? Why should CCM supporters or Chadema supporters (for no reason) decide to sit home and let the other guy win? Is that even a logical assertion? I believe kilichofanika ni hiki: kura nyingi zilizokuwa za Dr. Slaa (about 20+ %), zilichomolewa toka kwenye masanduku ya kura na kutupwa, then NEC ikaja na uongo wa kijinga kuwa namba ya watu waliojitokeza kupiga kura mwaka huu ilikuwa asilimia 43 tu. Dude, you don't need to be a rocket scientist to figure that out! Wala sihitaji ushahidi/evidence toka kwa manyag'au wa CCM kunithibitishia kuwa kura hazikuibiwa. And, I hate the use of euphemism like "walichakachua kura": "CCM WALIIBA KURA." Period.
 
No, I don't advocate change through violence means, mkuu. What am advocating, however, is demanding change through radical/militant non-violence means. P.S. Hatua za kuchukua zipo nyingi sana! In days and weeks ahead, nita-share hizo hatua hapa JF ili wale wote waliotayari kuungana nami, basi tuungane ili tuweze kudai hayo mabadiliko before it's too late.

...Great news
 
Sounds rhetorically great, but I think I could do with some help here.....

If you think what the Lissu's have started doing is not one of the phases in a process you seem to be advocating, it means you have already thought of something different (and probably better).
Can you pls thus send us your proposed process flowchart of what you want us to do to bring about the much (and URGENTLY) needed change.

If you have no such flowchart now and instead you think you have to go back to the drawing board to contemplate on it, then I think you are probably more useless than those (the Lissu's) you are claiming are not doing enough. Simple as that.
Mkuu, it's absurd to suggest that what we need in order to bring about the urgent needed change in our country is a 'flowchart'. No, I don't need flowcharts and stuff to pressure a government to provide clean drinking water to its citizens. All I need is courage and a lot of heart. Flowcharts are for simple minded academicians like you. Civil rights movement in America wasn't conceived out of flowcharts. Gandhi too didn't need those sort of things when he was fighting the might British Empire. So, if you still waiting for the flowcharts, well, good luck with that; but I have no time for flowcharts myself.
 
How can you say the election was not fair without producing any evidence?

Anybody can say anything he wishes, thinks or like but without evidence ni kama kumpigia mbuzi guitar.
Dude do you have the same thing we have between our ears or yours is something else?:embarrassed:
 
Jamani,
Acheni kudanganya watu na kuleta habari za kizushi hapa! Mnahamasishana kuwa Chadema itashinda na Dk. Slaa atashinda, kiko wapi sasa? Poll yenu ya uongo iliyokuwa inaonyesha Dk. Slaa daima anaongoza na Kikwete anashindwa, iko wapi sasa? Badala yake sasa mnazusha wizi wa kura, Tume siyo huru na Katiba mpya na mnasusia hotuba ya Rais Kikwete Bungeni! Acheni porojo hizi! Kwa nini mliingia kwenye uchaguzi, mkijua Tume ya Uchaguzi siyo huru? Mwenyekiti, Jaji Makame, akikaa Mahakama ya Rufaa akitoa hukumu, anaaminika, lakini akiongoza Tume, haaminiki tena! Unafiki! Chadema hawawezi kuikomboa nchi hii. Kwanza itekeleze demokrasia ndani ya Chama hicho na ndani ya kambi ya upinzani! Chacha Wangwe aliyekuwa anapigania demokrasia na haki ndani ya Chadema, yuko wapi? Tatizo letu siyo Katiba mpya, kwani hata Kenya wapinzani walishinda kwa Katiba ya zamani, sawa na Zambia na hata Malawi! Uingereza hawana Katiba kabisa, na wanakwenda! Babu yako kijijini anataka Katiba mpya? Anataka wajukuu zake wapate elimu, yeye na hao wajukuu wapate umeme, barabara na huduma za afya na maji safi! Katiba iliyopo haijashindwa kufanya hayo! Katiba mpya haiwezi kuleta umeme, inatakiwa tu na wajanja wanaodhani kuwa watapata njia nyepesi na mwanya wa kushika dola! Chadema wanataka kutuingiza katika mkenge wa mjadala wa Katiba mpya na Tume huru ili CCM isipate muda wa kutekeleza Ilani yake! Mnakumbuka mijadala ya Richmond (mpaka leo umeme hakuna!), Dowans, EPA, Twin Towers, Rada na upuuzi mwingine, ulivyotuyumbisha mpaka CCM ikapata kura chache safari hii! Vema, Mhe. Sitta, aliyekuwa akishabikia mijadala hiyo, siyo Spika tena! Tufanye kazi, tuwajibike kikamilifu, tuache porojo na majungu, tulipe kodi, tufuate sheria! Basi! Tutafika! Tuipe nafasi na tuunge mkono Serikali ifanye kazi! Wachina, wanaendelea na chama chao cha Kikomusti tangu enzi za Mwenyekiti Mao Dze Dong na sasa ni tishio kiuchumi duniani! Hawakubadilisha Katiba!
Bwassa
What exactly is your point, mkuu? I mean, kodi kila siku zinaendelea kukusanywa, lakini maendeleo hatuyaoni. Sheria mbovu zilizopo, bado zinaendelewa kufuatwa (ndo' maana Chadema hawakufanya chochote kuhusu wizi wa kura uliotokea kwenye uchaguzi mkuu uliomalizika hivi karibuni, maana sheria haziwaruhusu kufanya hivyo). But I think umeshindwa kuelewa kusudi zima la hii post, ambalo ni kuishinikiza serikali ifanye kazi on behalf of its ordinary citizens, badala ya inavyofanya hivi sasa ambapo inawakumbatia mafisadi peke yao, na kuwasahau wanyonge walio wengi.
 
Mafanikio makubwa ya Kagame na Museven yalikuwa:

Milele hawaanzi vita kama hawana uhakika wa kushinda.

Nenda Mtaani sasa ukidai haki yako, watakutandika na utasahaulika. Ona wale walikufa Zanzibar na leo hii katibu Mkuu wao wa CUF, anaungana na hao hao waliowauwa watu wao. Umeambiwa tulia kwanza, sasa haraka ya nini? Tumia UBONGO wako MILELE na si MAGUVU. Milele zinashinda MBINU na si MAGUVU.

...Kagame na Museveni walihamia msituni na kuanza vita lini? walipojua wanashinda?

...Nadhani mapambano yeyote yawayo yana mwanzo, na yana-build up as time advances, of course, kwa mikakati.

...Point is, leo unaweza kuona jamaa wanapoteza muda, baada ya miezi kadhaa kukawa na maendeleo ambayo hukutegemea, ukashangaa...heh mambo yamekuwa makubwa hivi!...
 
Well said, DAR si LAMU! And if I can paraphrase Dr. King for a moment here, "Militant nonviolent direct action seeks to create such a crisis and foster such a tension that a community which has constantly refused to negotiate/confront the problem, is forced to confront that problem."

Mapambano yeyote, lengo lake kuu ni kuweka wazi uonevu unaotendeka kichinichini ili watu wote wauone. Na watu wakishauona huo uovu basi, then possibility ya kupata support ni kubwa sana. Lakini ukisema usubiri mpaka uwe na uhakika wa kushinda, then hayo sio mapambano tena, bali ni "desirable turns of events.
"
 
...Na anayesubiri, hatoshinda kamwe!
 
Yaah,hii imetulia na daima tupo pamoja!
Sina shaka na uongozi wa Chadema,najuwa watakaa chini
kuona jinsi gani wataendanalo hili swala
 
I heard he has already sold Kigamboni city to some wealthy Arab guy and now he's finalizing a deal to sell the magnificent Serengeti to some rich western investors. Who knows? He could even be considering selling some parts of the lower Rufiji valley to some obscure British firms as we speak.

Post yako ni nzuri na imejaa mantiki kwa maendeleo ya nchi hii,, lakini umeanza tuhuma ambazo naona huna ushahidi nazo kama upo tuonyeshe hadharani,, walisema kigamboni ameuziwa Bush ikawa sio hivyo, dhana wakati mwingine zinapunguza uthamani maoni yako mazuri.
Mbali hilo, nayakubali maelezo yako na kiini na lengo la ushauri wako, PAMOJA TUTAWEZA
 
Back
Top Bottom