Elections 2010 Dr. Slaa mbona uko kimya?

Venant

New Member
Nov 1, 2010
1
0
Natumaini uchaguzi ulienda salaama huko tz. Hatuwezi kusema mengi, lakini ninachoshangaa ni kwamba Mheshimiwa Slaa toka uchaguzi umeanza hajasema kitu chochote kile. basi tunatumaini kusikia kutoka kwake
 
.....HI
 
Dr. Slaa ndiye Rais chaguo la watanzania. Sauti yake ni kuu yenye mamlaka atakapotamka miamba na nchi vitatikisika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom