Dr Slaa: Maggid, Umetuchukia CHADEMA!

Maggid,
Thanks a lot. Nisalimie wanangu wote. Nashukuru pia kwa Taarifa ya Mlinzi wangu wa Na.10 "Mr. Simba". I enjoyed the company and hope you all arrived safely. Naamini mjadala wa Katiba utaendelea, kwani ndio kweli hitaji kubwa la nchi kwa sasa kwani mengine yote yana "hinge" kwenye Katiba. Once again thanks a lot kwa wote.
 
Kama ulienda kusafisha uchovu wa kampeni za uchaguzi Dr Pole na mapumziko ya Mikumi...ila angalia isiwe ndio unachukua mazoezi ya kwenda kubebembea Malysia baada ya kuchukua ushindi wa 2015 kwani ndivyo itakavyokuwa baada ya katiba kurekebishwa..na ubarikiwe mzee wetu pamoja na kwamba umetuangusha kwa kushindwa kukomaa nao kama Allassane Quattara
 
Tofauti ya matokeo ya Pwani ya pembe(Ivory coast) na ya Tanzania ni kwamba tume ya uchaguzi ya Ivory coast pamoja na jumuia ya kimataifa ilimtangaza bwana Allassane quattara kuwa ameshinda ila matokeo yakachakachuliwa na mahakama ya katiba. Lakini Hapa Tanzania ushindi wa dr. Slaa ulichakachuliwa jumla jumla na (so called) Tume ya uchaguzi ikisaidiwa na katiba iliyokwisha kupitwa siku nyingi sana na wakati.
 
Maggid, kulikuwa na nini huko Mikumi? Wewe, Dr Slaa, Mzee Makamba na wengine ambao bila shaka hujatutajia? Dots tunazo, connection yake ndio haijapatikana...
 
kweli dr slaa chagua watu wa kukaa nao, wengine wanakuwinda, angalia na hizo soda unazokunywa na hawa watu isije ikawa ndo wanaku-kolimba taratibu
 
Maggid,
Thanks a lot. Nisalimie wanangu wote. Nashukuru pia kwa Taarifa ya Mlinzi wangu wa Na.10 "Mr. Simba". I enjoyed the company and hope you all arrived safely. Naamini mjadala wa Katiba utaendelea, kwani ndio kweli hitaji kubwa la nchi kwa sasa kwani mengine yote yana "hinge" kwenye Katiba. Once again thanks a lot kwa wote.

Dr, ahsante sana. Tulifika salama. Mimi na familia yangu tulifurahi sana kukutana nawe na familia yako. Wana wangu bado wanakuzungumza. Kuwa nawe pale Kikoboga nimejifunza mengi. Hakika, u kiongozi wa kupigiwa mfano, kuishi kama unavyohubiri. Nikwambie, kuwa vijana wafanyakazi pale Kikoboga waliipenda sana staili yako, very simple. Walikufurahia sana na kujivunia uwepo wako. Pale Kikoboga matukio yalikuwa kadhaa , lakini niliguswa sana pale mama yule na familia yake kutoka Dodoma alipomwona binti yake akihangaika kukutazama bila kuamini kama ni kweli. Mama yule, kwa ujasiri alikuamkia na akatamka; " Dr Slaa, nyumbani mimi na mume wangu tuna ugomvi na binti yetu huyu. Mimi na mume wangu ni CCM, lakini binti yetu ni CHADEMA na wewe ni kipenzi chake!"

Dr ukamwita binti yule msalimiane. Ukamkumbatia, ukaongea nae kwa upendo. Naamini kwa binti yule itabaki kuwa kumbukumbu yake ya maisha. Kama utasimama tena kugombea Urais 2015, basi, kwa binti yule, una kura yake!

Mengine tutawasiliana, wasalimie.
Maggid
Iringa
 
Majjid,

..lakini huyu si ndiyo ulikuwa ukimchimba na kumpinga wakati wa kampeni.

..leo unadai ni kiongozi wa kupigiwa mfano!!??
 
Majjid,

..lakini huyu si ndiyo ulikuwa ukimchimba na kumpinga wakati wa kampeni.

..leo unadai ni kiongozi wa kupigiwa mfano!!??

Joka Kuu,
Ahsante sana. Unafahamu pia, kuwa hakuna aliyekamilika. Ukitaja mazuri ya binadamu mwenzako haimaanishi kuwa huna haki ya kusema mapungufu yake.
 
Duh, kumbe alikuwa ukimpinga DK????

Labda alitegemea fadhila au malipo kutoka kwa hao aliokuwa akiwafagilia, kaona wamemtosa kaamua kufuata right path, by the way yaliyopita si ndwele, ila nina swali kwa majid umesema:

wakati nikimpa majibu hayo dr slaa, kichwani nafikiria, hata profesa lipumba nimeonana nae mara moja tu, mwaka 2005, tangu wakati huo hatujatiana machoni. Na james mbatia namsoma tu magazetini, ningependa nikutane nae siku moja.

Naona umeanza kumfikiria Makamba, Lipumba na Mbatia, ina maana Mkwere huwa mnakutana mara kwa mara??
 
Joka Kuu,
Ahsante sana. Unafahamu pia, kuwa hakuna aliyekamilika. Ukitaja mazuri ya binadamu mwenzako haimaanishi kuwa huna haki ya kusema mapungufu yake.
Naomba kujua Maggid je umabadili msimamo wako baada ya uchaguzi na umegundua kuwa ulikosea na hivyo hii ni njia yako ya kitubio? Kama ni hivyo useme ili ukaribishwe rasimi. Watu hubadili misimamo.....!!
 
Duh, kumbe alikuwa ukimpinga DK????

Labda alitegemea fadhila au malipo kutoka kwa hao aliokuwa akiwafagilia, kaona wamemtosa kaamua kufuata right path, by the way yaliyopita si ndwele, ila nina swali kwa majid umesema:

Naona umeanza kumfikiria Makamba, Lipumba na Mbatia, ina maana Mkwere huwa mnakutana mara kwa mara??

Mla Mbivu,
Nimesoma mawazo yako, ahsante. Na Mkwere ndio nani? Hayo ni majungu! ( Utani)
 
Majid ni mnafki tu kama walivyo wanafki wengine, nilikuwa namuheshimu sana na nilikuwa navutiwa na makala zake, lakini lah wapi! njaa na akili haviwezi kwenda pamoja hata siku moja. yaani sasa hivi ndio wanajifanya wamezirudisha akili zao kwenye vichwa vyao kutoka kule walipoziacha kipindi cha kampeni. hawa mtaji wao ni kalamu na camera tu, hawana lolote. HYPOCRITES.

msanii tu huyo kwanza muongo,pili anapenda kujisifia mbona michuzi hajisifii kuhivyo,then mnafiki,anajifanya anajua kuanalise socer kumbe wapi siasa nako hola,fani yake mwalimu wa chekechea
 
msanii tu huyo kwanza muongo,pili anapenda kujisifia mbona michuzi hajisifii kuhivyo,then mnafiki,anajifanya anajua kuanalise socer kumbe wapi siasa nako hola,fani yake mwalimu wa chekechea

Togo, mashambulizi binafsi ya kazi gani? Uungwana ni kushambulia hoja ndugu yangu hayo mengine hayana nafasi hapa JF, Kwako Maggid, huwa nina farijika sana pale unapojibu hoja humu JF na kuacha kujibu hisia na kejeli unazotupiwa- huo ni uungwana ndugu yangu endelea nao.
 
Back
Top Bottom