Elections 2010 Dr. Slaa live na tbc taifa usiku huu

Paulo

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
350
66
Dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda.
Maoni yake ni haya;
Mtangazaji: Unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri?

Dr. Slaa: Anna makinda anafaa kuwa spika. Pia ni mtu mwenye uzoefu ila kuna wakati anakuwa mwepesi wa jazba na hivyo kutumia nguvu.
Mtangazaji: Nini ujumbe wako kwa wabunge vijana?

Dr. Slaa: Nawaasa wabunge vijana kuepuka kuvutika upande mmoja hasa kipindi hiki cha mwanzo mwanzo.

Pili nawaasa wabunge vijana kutulia na kusoma kanuni vizuri ili wasipigiwe filimbi.
 
dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda.
Maoni yake ni haya;
mtangazaji: unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri?

dr. Slaa: anna makinda anafaa kuwa spika. Pia ni mtu mwenye uzoefu ila kuna wakati anakuwa mwepesi wa jazba na hivyo kutumia nguvu.
mtangazaji: Nini ujumbe wako kwa wabunge vijana?

dr. Slaa: nawaasa wabunge vijana kuepuka kuvutika upande mmoja hasa kipindi hiki cha mwanzo mwanzo.

Pili nawaasa wabunge vijana kutulia na kusoma kanuni vizuri ili wasipigiwe filimbi.
nimeipenda hiyo.
 
endelea kutupasha habari mkuu wengine hatupo karibu na radio..............

keshamaliza mkuu. Hakuongea sana. It was very short. Ila du.....anaonekana kumsifia kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huku akimponda kiaina kua sometimes anatumia nguvu kitu ambacho anapaswa kuacha
 
Dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda.
Maoni yake ni haya;
Mtangazaji: Unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri?

Dr. Slaa: Anna makinda anafaa kuwa spika. Pia ni mtu mwenye uzoefu ila kuna wakati anakuwa mwepesi wa jazba na hivyo kutumia nguvu.
Mtangazaji: Nini ujumbe wako kwa wabunge vijana?

Dr. Slaa: Nawaasa wabunge vijana kuepuka kuvutika upande mmoja hasa kipindi hiki cha mwanzo mwanzo.

Pili nawaasa wabunge vijana kutulia na kusoma kanuni vizuri ili wasipigiwe filimbi.

Asante Paulo, hiyo nzuri.
 
Asante kaka, hata kama tukisikia tu maneno mawili ya busara toka kwa Rais wa watu wa Tanzania inatosha sana.
 
asante kaka, hata kama tukisikia tu maneno mawili ya busara toka kwa rais wa watu wa tanzania inatosha sana.

mi pia nimefurahi kumsikia mkuu. C unajua tena mzee alikuwa kimya kwa muda mrefu kiasi kwamba mtu unashindwa kuotea kilicho moyoni mwake. At least he has spoken a little.
 
Back
Top Bottom