Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 567
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr Wilbrod Slaa mwishoni mwa wiki ijayo siku ya jumamosi hii tarehe 31/5/2014 anatarajia kuwasha moto mkubwa katika viunga vya chuo kikuu cha mtakatifu Augustino SAUT Mwanza ,Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa la lililoandaliwa na uongozi wa CHADEMA tawi la SAUT(CHASO SAUT),kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolea na katibu mwenezi wa tawi hilo,alisema dr Slaa atakuwepo kwa ajili ya kutimiza majukumu makubwa mawili,jukumu la kwanza likiwa ni kutoa mada mbalimbali zinazohusu maisha,vijana,siasa na maendeleo na baada ya hapo anatarajiwa pia kuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa 3 na 4 ambao kwa mda wote wamekuwa makamanda watiifu wa CHADEMA na Dr Slaa anatarajiwa kuwatunuku vyeti vya kutambua mchango wao ndani ya CDM na ndani ya jamii waliokuwa viongozi na wanachama wa chama hicho chuoni hapo,
Katibu mkuu huyo wa CDM anatarajiwa kuambatana na ugeni mzito wa wabunge wa chama hicho,wakiwemo mnazimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa chama hicho Tundu Lissu,mh Halima Mdee, mh Ezekiel Wenje,mh Kiwia,Viongozi wakuu wa mabalaza ya BAVICHA na BAWACHA,viongozi wa CDM kanda ya ziwa na kamanda Mawazo,na katika hatua nyingine Dr Slaa anatarajiwa kuwakabidhi kadi za CDM vijana wasomi wa SAUT zaidi ya 500 ambao mpaka sasa majina yao yapo kwenye uongozi wa chama hicho tawini hapo,ambapo kati ya vijana hao 500,wapo wanachama wapatao 70 wanaokihama chama cha mapinduzi CCM tawini hapo,ikumbukwe kuwa CHASO SAUT iliasisiwa na kuzinduliwa na mwaka 2007 na mwenyekiti wa CHADEMA taifa kamanda wa Anga mh Freeman Aikaeli Mbowe,na mpaka sasa tawi linawanachama hai wapatao 4700 kati ya wanafunzi 11500 wanaosoma chuoni hapo, na miongoni wa viongozi na waasisi maarufu waliopita tawi hilo ni Mh Wenje,mh Mkosamali,mh Machali,Heche na wengneo,tawi hilo la CHADEMA SAUT limekuwa mwiba mkali kwa CCM kanda ya ziwa na kwa nyakati tofauti tofauti wamekuwa wakijaribu kutaka kulimaliza tawi hilo ili kukomesha harakati za makamanda wanafunzi wa CDM SAUT kwani siasa zao zimekuwa zinamadhara makubwa kwa CCM na wanadai imepelekea siasa ya CCM kanda ya Ziwa ipotee,kwani vijana hao wamekuwa wakizungukia maeneo mabalimbali ndani ya kanda ya ziwa kama vile Geita,Sumve,kwimba na nk,hivyo kumekuwepo hujuma mbalimbali zinazoratibiwa kwa ukaribu na viongozi wa CCM taifa , Kinana,Lukuvi ,Mwigulu na makamba kwa kushirikiana na uongozi wa CCM mkoani Mwanza ambapo wamekuwawakitumia mbinu mbalimbali kulivuruga tawi hilo ikiwemo kuwatumia viongozi wa serikali ya wanafunzi chuoni hapo,kuhonga baadhi ya wanaCDM wanafunzi ili wajiunge nao,ikumbukwe tangu mwaka 2011 serikali ya wanafunzi chuoni hapo imekuwa ikiongozwa na rais ambaye ni mwanachama wa CDM kuanzia kwa kamanda Malisa,Dovakamwene Mcheshi,isipokuwa mwaka huu ambapo kumekuwepo na madai kwamba walimnunua mwanaCDM aliyeshinda urais chuoni hapo ambapo awali alikuwa ni mwanaCDM safi bt akashawishiwa kwa vipande vya pesa kujiunga na CCM na zoezi zima lilikamilishiwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya Nyamagana,ambapo pamoja na mambo mengine aliahidiwa ajira pindi amalizapo chuo,kukutanishwa na Jk ambapo Kinana na Mwiguru waliinjinia hujuma hiyo.
Uptudates, mtoa mada mkuu ni Pamoja na Dr Slaa TUNDU LISSU, SUZAN LYIMO (Waziri kivuli wa elimu) JOHN HECHE (Mwenyekiti BAVICHA)
na uwanja utakuwa ni uwanja wa shule ya msingi Nyamalango
PLZ MODS msiunganishe uzi huu zaidi nitaomba msaada wenu wa kunipangia vizuri bandiko langu*