Dr Slaa,Lissu na Mdee kutikisa SAUT Mwanza jumapili ijayo

VIVA vijana nyie ndio tunaowategemea kuleta mabadiliko ktk nchi hii na mko wengi wa kutosha. Pamoja na ukata penye nia pana njia. Maandalizi yenu ni mazuri sana na nawashauri vijana wengine waige mfano wenu. Huyo kamanda wa Jimbo la Mkosamali ndio kioo haswa kwani anajua fika ili chama kishinde kinatakiwa kiwe na mizizi kila mahali kwani mizizi ndio unashikilia shina na matawi. Ushawishi wa nyumba kwa nyumba ni muhimu sana na sera kuu iwe kwa nini CCM hawaitaki Rasimu? Wananchi wakielimishwa vizuri CDM - UKAWA tutashinda chaguzi zijazo tu. Tujitume kwa hali na mali mpaka kieleweke.
 
Masters saut pia wanataka wajumuishwe katika wanao chukua vyeti chadema maana hata wao ni makamanda wapiganaji
 
duuuhhhh mbona sisi wa masters hamjatuinclude ingawa kadi zetu tulichukulia MTAANI?but tuko hai chini ya kamanda shija?

Hata wa masters mnaruhusiwa mkuu,na mwisho wa kutoa mchango wa mahafali hayo ni kesho jumatano ya tarehe 28/5/2014 mkuu
 
Wakuu nimesahau tu kuwajumuisha watu wa masters bt hata wao wanaruhusiwa since ni miongoni mwa wanachama wetu na makamanda wapambanaji waliopo flont line,bt wazingatie deadlines ya kuchangia gharama ya mahafali ni kesho jumatano 25/5
 
kura zilifikia idadi, ila hujuma tu zilitumika - yes ni mtu wa watu hasa wanyonge wanaopokwa haki zao.

attachment.php
 
Vijana wa chuo saut,
Nadhani ni vyema kupambana na mustakabali wa elimu yenu,
maisha yenu na ajira zenu. Haya mengine ya siasa wekeni
pembeni. Huu ni ushauri wangu kwenu......

Mandla,
Kutoka Bungeni Dodoma.
 
so kwa mantiki yako unamaanisha hata vikundi vya kidini kama na vikundi vya kimaendeleo kma PCCB CLUB,na mengineyo visiwepo chuo?chuo kikuu tunakuja kuendeleza msingi wa secondali,kufanya tafiti na kugundua vitu na si kuja kusoma that y tunamasomo kma ya political science nk
 
c ngome yake padri wa zamani mishen dam dam punguani lingine eti raisi ajae! lkn kuna raisi wa wasafi,manzese huyu atakuwa wa vichaa

Da!kweli ndo mana Mbunge Kessy kasema muondoke zenu kwa kuvua koti la muungano coz mmezidi udini na ubaguzi wa waziwazi,shame on u
 
VIVA vijana nyie ndio tunaowategemea kuleta mabadiliko ktk nchi hii na mko wengi wa kutosha. Pamoja na ukata penye nia pana njia. Maandalizi yenu ni mazuri sana na nawashauri vijana wengine waige mfano wenu. Huyo kamanda wa Jimbo la Mkosamali ndio kioo haswa kwani anajua fika ili chama kishinde kinatakiwa kiwe na mizizi kila mahali kwani mizizi ndio unashikilia shina na matawi. Ushawishi wa nyumba kwa nyumba ni muhimu sana na sera kuu iwe kwa nini CCM hawaitaki Rasimu? Wananchi wakielimishwa vizuri CDM - UKAWA tutashinda chaguzi zijazo tu. Tujitume kwa hali na mali mpaka kieleweke.

Hakika mkuu chama kinapaswa kutokea juu kwenda chini kwenye shina na huko ndo kinapaswa kiwe na mizizi imara that y huwa nashirikiana na yeyote yule kwangu cheo ni adhabu ya heshima so huwa silazimishi kitafta mpaka pale inapobidi
 
Nashukuru kamanda kwa taarifa, endeleeni kupigania ukombozi wa nchi hii, sisi tupo bega kwa bega na nyie makamanda
 
Mwanza uongozi umefanikiwa sana kuunda Chaso. Vipi mtwra, ms, dsm mby, arsha, irng, tbr, na kgera? Uzito kama wa mwanza unatakiwa maana maeneo hayo yana vyuo vingi ambavyo vikiwa na matawi imara itakuwa chimbuko la viongozi imara wa baadae. Tumieni uzoefu wa Chaso kuimarisha matawi sehemu hizo.
 
Vijana wa chuo saut,
Nadhani ni vyema kupambana na mustakabali wa elimu yenu,
maisha yenu na ajira zenu. Haya mengine ya siasa wekeni
pembeni. Huu ni ushauri wangu kwenu......

Mandla,
Kutoka Bungeni Dodoma.
Ok sister nandla shoga wangu unachonga lol
 
Imekaa poa sana hiyo kwa pamoja tutafika ingawa kwenye safari kina Yuda hawakosekani
 
Back
Top Bottom