Elections 2010 Dr.Slaa kuunguruma kesho.

Ilumine

Senior Member
Dec 27, 2008
196
4
:israel: Dr. Slaa atafanya ‘press conference’ na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili. Mahali ni Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Dr. Slaa amesema sio kawaida yake kuongea mambo ambayo hajafanyia uchunguzi.
Haya tumtegee masikio Shujaa huyu hiyo kesho. Sijajua kama kutakuwa na TV station au redio yoyote itakayorusha “Live” na pia muda sijajua ni saa ngapi.
Chanzo: BBC Swahili, Dr.Slaa mwenyewe ameongea hilo.
 

Attachments

  • _dk wilbord slaa.jpg
    _dk wilbord slaa.jpg
    7 KB · Views: 53
naisubir kwa hamu kama nini. tena nataka jukifanya mwandishi wa habari niipate hiyo hotuba yake live!!!!!!
 
Nitajifanya mwandishi wa habari pia nitaingia Chadema makao makuu; najua ndio mwanzo wa ukombozi wa mtanzania dhidi ya wadhalimu
 
Back
Top Bottom