Dr Slaa kutana na Vijana kila mwisho wa mwenzi(2012/15 sept)

Hapa ndio pa kuwashawishi watu wajiandikishe kwa ajili ya
kupiga kura,kwanini wasiuze kadi zao za kupigia kura
na kwanini wachague mabadiliko.

Kuongea na kada mbali mbali za vijana kuta wajengea
vijana kujua wanacho kitaka kwenye uchaguzi ujao na mtu mwenye
sifa za aina gani (hapa asijipigie kampeni akiwa anaongea nao)
hii itaepushak uja kushitukizwa 2015 na kujikuta
wakibeba bendera kwenye bodaboda bila kujua kuna nini haswa kinaendelea.

Itasaidia kwa vijana wengi kuondokana na mawazo kwamba msimu wa uchaguzi
ni mda wa kuchuma hela,bali ni mda wa kuchagua aina gani ya uongozi wanautaka
katika miaka mi5 inayo fuata.

Wazo zuri sana,ila halitafanyiwa kazi.
Walisha pewa mengi sana humu,e.g kujenga makao makuu
ya chama etc lakini ni kama unatwanga maji kwenye kinu.
 
Umetoa wazo zuri sana ila nadhani ingefaa kama ata-extend idea yako na pia awaguse kina mama hawa ndio sumu kubwa ya mabadiliko.

Target kubwa ikiwekwa kwa vijana wa vijijini na kina mama nadhani tutakuwa tumefanikisha jukumu la kumkomboa mtz kifikra zaidi na kisha ukombozi wa kisiasa, uchumi, michezo na utamaduni vitafuta kwa urahisi zaidi.

Big up for the critical thinking
 
dr slaa haya mawazo ni kama yameshushwa na Mungu usiyapuuze tafadhali, tatizo ni jinsi ya kuwahutubia ndo maana radio au tv ya chama kwa kweli ni muhimu sana ktk hii miaka mitatu ya kujijenga kuchukua nchi. wengine tupo tayari kuchangi uanzishwajihuo.
 
Wazo zuri Sasa tuangalie namna ya kufanya hivyo je ni kupitia Tv? Hapa ndipo Tv ya chadema inapokuwa muhimu . Vingine vyo Kikodi airtime itakuwa gharama . Ni bora tuangalie namna ya kupata fedha za kukidhi gharama hizo
 
Dr kama utafanikiwa kupitia huu uzi utuambie,tunatakiwa kujenga kizazi chenye Uzalendo na nchi hii,toka chini mpaka juu,ili vijana[me+ke](viongoz wa kesho)wajitambue,mtembelee vyuo vya ualimu vyote nchini wao najua wakimaliza masomo wanasambaa sehemu mbalimbali,za Tanzania,tukifanya hivo 2012-2015 mabadiliko yataongezeka
Iwa mwema
Wakatabahu
 
Umeeleweka jembe,nazan huu ni mkakati mzuri kama CDM itafanya hivo,ila kama watapuuzia hiyo juu yao....Dr pitapita hapa uyaone mawazo ya wadau
 
Hivi Chadema walifanyia kazi huu ushauri au ndo M4C"Tanzania yenye kujitambua ni muhimu zaidi"
Tanzania kwanza vyama baadaye
"Vox popoli vox dei"
 
Back
Top Bottom