Dr. Slaa kutafuna mfupa wa wastaafu wa EAC uliowashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa kutafuna mfupa wa wastaafu wa EAC uliowashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 18, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa awaahidi wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki kulipwa ndani ya siku mia moja ya utawala wake mpya...........

  Hii dhuluma dhidi ya wastaafu hao ambao wameitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa kwa miaka nenda rudi ulimshinda Baba wa Taifa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na sasa Jk ambaye haoni hata aibu kuzungumzia ahadi hewa za miradi mipya wakati amegoma kuwalipa wastaafu hawa wanyonge.

  TUNAMSHUKURU MOLA MWENYEZI MUNGU KWA KUTUPATIA MKOMBOZI WETU DR. SLAA NA CHADEMAAAAAAAAAAA
   
 2. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,858
  Trophy Points: 280
  Anaweza kabisa. Kilichokuwa kinatakiwa kuwezesha malipo yale ya wastaafu ilikuwa ni Dhamira tuu basi.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kushugulikia suala la wastaafu wa jumuia ya afrika mashariki ni suala ambalo linawezekana!kinachohitajika hapa ni nia njema ya kulimaliza tatizo hii ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu!Tumpe kura Dr Slaa amalize tatizo hili!
   
Loading...