Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

padre slaa hana tofauti yoyote na savimbi. Padre slaa kaingia kwenye siasa kwa sababu ya tamaa kubwa aliyokuwa nayo ya utajiri na power. Anakiendesha chadema kidictator na kiukoo zaidi. Huyu jamaa hafai kabisa kuwa rais.

hahahaha, mamako anafaa sana kuwa raisi mchague na hongera amepata. Mpuuzi mkubwa wewe
 
Kwani ulikuwa huna habari Rushwa anazochukua Dr. Slaa?

Mwaka 2006 aliwauzia Waarabu Snow yote ya Mlima Kilimanjaro. Ndiyo maana imeendelea kupungua kwa speed kubwa.

Pia huyu Dr Slaa ameuza umeme wetu kama Maroli 300 hivi mwaka jana na matokeo yake ni hili GIZA.

Umeme huo ulionekana ukiwa ndani ya Maroli hayo ukikatiza mpaka kuelekea Rwanda kwa Kagame.

Nilimshauri auze na FOLENI ya Dar maana kuna nchi wana hamu nayo sana.

Foleni hizi, jamaa wako tayari kumpa RUSHWA Dr Slaa ya Mamilioni ya Dola ili wazinunue.

Ukiona vipi, wee omba kazi ya mtunza mauwa nyumbani kwake, itakufaa sana na mshahara mzuri.

Kipindupindu nacho Wachina wamesema wanaweza kununua ili kupungza watu wao.

Pia Wachina wanataka kutengeneza Biological Weapons kwa kutumia Kipindupindu. Dr Slaa atavuta rushwa la Nguvu.

Sasa mbona nyie washabiki wa Chadema Mnajicontradict wenyewe? Nyie mnapinga serikali ya CCM kwa kuwa ina matumizi makubwa. Sasa mbona unasifia matumizi makubwa na rushwa iliyoko Chadema?

Hii inaonesha kwamba WTZ wengi bado hawajui wanachokitaka kutoka kwenye vyama vya upinzani.
 
Kwani Sheria za dini zinazungumzia Aliens gani? Au hao Ma kadhi wao wana deal na hao aliens tu?

Kwako wewe mtu akisoma Sheria za dini basi awe kwenye hiki kikao hapa chini:

aliensMtg.jpg

Sasa hao waliosoma Mlimani na kupata Degree za Uchumi na mwisho kuwa na PhD kibao za kurushiwa kama Mpira, wameisaidia vipi hii nchi? Akina fulani wao ndiyo wana PhD za kununua na bado nchi imewashinda. Wanaishia kusema "Aisee, hata mie sifahamu kwa nini Tanzania ni masikini."
Jamani huyu padre ana Phd ya sheria za dini kwa maana nyongone huyu ni kadhi wa kikatoliki, elimu yake haina uhusiano kabisa na siasa za kidunia.
 
TABORA for CHADEMA HEADQUARTER (HQ). PIPOOO'S PAWAAA.....

Msichelewe kuomba na Mlima kilimanjaro mwingine kule Inyonga na inshalla Kadhi Slaa atawaletea kama alivyofanya kwa cement ya buku 5
 
Siye twaomba mizimu ya Mababu ituletee Dhahabu na Almasi.

Mlima Kilinjaro wa nini? Hiyo Mi-Volcano na vumbi la udongo wake ni taabu tupu. Pia ule udongo huwezi kulima Mihogo na Viazi maana vinakuwa na sumu. Sasa ngosha tukikosa Viazi vitamu, matobolwa yatoke wapi? Hata jina la Tabora ni Matoborwa.

Wanyamwezi tupo poa tu. Siku tukiamka, mkoa una utajiri mwingi tu na tutapata zao letu la kutupa utajiri.
TABORA for CHADEMA HEADQUARTER (HQ). PIPOOO'S PAWAAA.....

Msichelewe kuomba na Mlima kilimanjaro mwingine kule Inyonga na inshalla Kadhi Slaa atawaletea kama alivyofanya kwa cement ya buku 5
 
TABORA for CHADEMA HEADQUARTER (HQ). PIPOOO'S PAWAAA.....

Msichelewe kuomba na Mlima kilimanjaro mwingine kule Inyonga na inshalla Kadhi Slaa atawaletea kama alivyofanya kwa cement ya buku 5

Inshalla utashuhudia chama chako cha majambazi - CCM kikilazwa kwenye jeneza na kutumbukizwa kaburini miaka michache tu ijayo.
 
Wanyamwezi tupo poa tu. Siku tukiamka, mkoa una utajiri mwingi tu na tutapata zao letu la kutupa utajiri.

Mmelala kwani au ni watu tu wanachezea self esteem yenu tu, sasa msishikamane na watu wenye itikadi za kikabila maana ndio walio wafikisha hapo.
 
Inshalla utashuhudia chama chako cha majambazi - CCM kikilazwa kwenye jeneza na kutumbukizwa kaburini miaka michache tu ijayo.

Nitakuwa tayari kuona hayo yakitendeka kwa nguvu ya sanduku la kura, mkiamua kumuweka mzinzi ikulu kwa kura unadhani ndio nitahama nchi? ila kwa njia yeyote ile nitakufa na ninyi ooh sorry nitawaua ninyi.
 
Mimi nilipata habari toka ndaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani wakati wana bargain kwamba agombee Urais au la walisaini MoU kwamba atakuwa analipwa shs 15M kwa mwezi na hizo pesa anaetoa ni MZEE MENGI.

Dr concern yake ilikuwa ni je ata survive vipi kama akiachia ubunge wakati kula yake inatoka kwenye ubunge.
 
acha kutafuta umaarufu kwa kupitia dr slaa wewe,mshahara wakeunakuhusu nini? Kwanza kaulize wa baba yako jk ndio uambiwe na wa dr.Slaa

Huu ndio unafiki wenu baadhi ya memba humu JF nyie ndio wa kwanza kudai muambiwe mshahara wa wabunge ni kiasi gani maana sisi ndio walipa kodi ila anapolipwa Katibu mkuu wa chama chenu milioni 12 sio ufisadi? Mnaweza kutupa mchanganuo wa hizo milioni 12? Vile vile mnadai ni performance hebu tupatieni kipimo chenu cha performance? Vilevile Dr Slaa anapita akitangaza kupinga ukubwa wa matumizi ya fedha za umma huku yeye mwenyewe anakinga milioni 12 sasa uko wapi uadilifu?? Ingelifaa Dr W.S Slaa akatufafanulia maana ni KODI ZETU SOTE!!!!! KWAKUWA KILA CHAMA CHA SIASA KINAPEWA RUZUKU NA SERIKALI AMBAYO INATOKA KATIKA KODI ZETU WAZEE!!!!!!
 
Mimi nilipata habari toka ndaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani wakati wana bargain kwamba agombee Urais au la walisaini MoU kwamba atakuwa analipwa shs 15M kwa mwezi na hizo pesa anaetoa ni MZEE MENGI.

Dr concern yake ilikuwa ni je ata survive vipi kama akiachia ubunge wakati kula yake inatoka kwenye ubunge.

Kama analipwa na mzee mengi ni vema ila isiwe inatoka katika ruzuku ya serikali kwa Chadema!!!!
 
Unatakiwa ujiulize huo mshahara anmpa nani? Kama anapewa basi wanaompa wameridhika na kazi aitendayo ndiyo maana wakampa huo mshahara! Unatakiwa ufuatilie wanaoitafuna hii nchi wanatafuna kiasi gani na kutoka hapo ndio uulize maswali endelevu!
HUO UFISADI TU!ti.
hapa tuseme ukweli,kama Slaa anahubili falsafa ya kula "mihogo" basi sikutegemea kuwa angekubali kupokea mshahara wa namna hii wakati Chama hakina ofisi huko vijijini.nakala tunayo ya MKATABA alioingia na cdm ili agombee urais atakavyolipwa akishindwa urais.
MJASILIAMALI.tunamjua. usishangae kaka ndo walewale kwa sura ya uana-harakati.
 
Mitanzania mingine ina WIVU wa KIKE - BW Mkapa.

Sasa wee, hela za Mengi zinakusumbua nini? Si na wewe tafuta zako na umlipe kiasi chochote unachotaka mmoja wa Wagombea Urais walioshindwa? Waweza kumchagua kwa mfano Kaka yangu Lipumba.

Pia fanya Masahihisho. Mengi anampa hela nyingi ya hizo ulizoandika hapo chini.

Ukiongezea na Rushwa ya kuuza Snow ya Mlima Kilimanjaro, mambo mazuri kabisa.

Sasa hivi yuko katika kuuza NZI wa Tanzania ambao Thailand wana soko safi sana.
Mimi nilipata habari toka ndaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani wakati wana bargain kwamba agombee Urais au la walisaini MoU kwamba atakuwa analipwa shs 15M kwa mwezi na hizo pesa anaetoa ni MZEE MENGI.

Dr concern yake ilikuwa ni je ata survive vipi kama akiachia ubunge wakati kula yake inatoka kwenye ubunge.
 
Sasa wee, hela za Mengi zinakusumbua nini? Si na wewe tafuta zako na umlipe kiasi chochote unachotaka mmoja wa Wagombea Urais walioshindwa? Waweza kumchagua kwa mfano Kaka yangu Lipumba.

Pia fanya Masahihisho. Mengi anampa hela nyingi ya hizo ulizoandika hapo chini.

We mkaka mi hata sikuelewi umeandika nini hapa? kwani we msimamo wako ni upi?

Ukiongezea na Rushwa ya kuuza Snow ya Mlima Kilimanjaro, mambo mazuri kabisa.

Sasa hivi yuko katika kuuza NZI wa Tanzania ambao Thailand wana soko safi sana.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom