Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

MS anawachezea sana JF mods... sijui ana nguvu gani

The Bad thing ni kwamba watu wana mdekeza sana utakuta Post ya MS ina page zaidi ya 10 na hamna la maana kwa nini Asipuuzwe?
 
The Bad thing ni kwamba watu wana mdekeza sana utakuta Post ya MS ina page zaidi ya 10 na hamna la maana kwa nini Asipuuzwe?

Hahaha,mbona umeingia kuchangia na wewe sasa?

Ni kwa sababu zinakuwa nzuri ndo maana wachangiaji wengi
 
ha ha ha ha !!!!!! Analipwa million 12 kwa mwezi sawa na shillingi laki nne kwa siku. Analipwa kutoka hela ya walipa kodi wa nchi gani? Hayo hayanihusu.
 
ha ha ha ha !!!!!! Analipwa million 12 kwa mwezi sawa na shillingi laki nne kwa siku. Analipwa kutoka hela ya walipa kodi wa nchi gani? Hayo hayanihusu.

Safi sana,hahahaha duh!
Lakini atleast yeye kwa kupokea mshahara mkubwa ana watetea na wengine waongezwe mshahara sio kama wenzake wanakula vinono na wana wasahau watu wanao pigika kama walimu nk
 
Naomba mod uiondoe hii thread ina lengo la kutuondoa kwenye malengo yetu ya hoja za kujenga taifa,,
 
Kuna mijitu humu ndani hata haistahili kuitwa magreat thinkers wala nini. Jamaa kauliza swali vizuri, tena kwa staha kabisa, bila kashfa. Watu badala ya kumjibu, wanaanza jazba za kipumbavu, jamani huyo Dr asizungumziwe hata kidogo? Aaagh.... Naona wanazi wa CHADEMA wanaanza kuwa kama CCM B(CUF) sasa!
 
HansMaja;1711949[COLOR="#ff0000" said:
]Kuna habari[/COLOR] mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Hizo habari ndiyo uziweke hapa na siyo umbea wa namna hiyo,Dr. Slaa mwaka anawafanya wengi sana hamlali.Dr endelea kuwashika mpaka wakae level
 
Naomba mod uiondoe hii thread ina lengo la kutuondoa kwenye malengo yetu ya hoja za kujenga taifa,,

Uliona kabisa title "mshahara wa mheshimiwa Dr.Slaa" bado ukaja humu kuona nini sasa kama sio umbea?

Si ungebaki kwenye thread za kujenga taifa kama ulikuwa hutaki kujua mshahara wake?
 
Kuna mijitu humu ndani hata haistahili kuitwa magreat thinkers wala nini. Jamaa kauliza swali vizuri, tena kwa staha kabisa, bila kashfa. Watu badala ya kumjibu, wanaanza jazba za kipumbavu, jamani huyo Dr asizungumziwe hata kidogo? Aaagh.... Naona wanazi wa CHADEMA wanaanza kuwa kama CCM B(CUF) sasa!

Nime gundua kuna watu "wambea" sana humu!
Walivo fungua thread sina shaka walitaka kujua mshahara wa Dr.slaa uko vipi!
Walipoona ni swali wakaanza ujinga wao kuogopa kutukanwa
 
Uliona kabisa title "mshahara wa mheshimiwa Dr.Slaa" bado ukaja humu kuona nini sasa kama sio umbea?

Si ungebaki kwenye thread za kujenga taifa kama ulikuwa hutaki kujua mshahara wake?

Love yah speaker, unaonekana uko less biased kwenye hili. Kuna mijitu inajibu kwa hisia, wala si hoja. Upumbavu, si kila unachohisi kiko tafauti na itikadi yako basi upinge, tena kwa cashfer. Kip t up Mr. Spika!
 
Acha kuropoka wewe....

Dr. Slaa mshahara wake unamkaribia CEO wa COCACOLA wa HQ huko USA.

Jamaa analambishwa kitu kama $ 40 Mlns za US kwa mwaka.

Na Makamu wake Zitto, yuko na mshahara sawa na CEO wa MAERSK, huko Denmark.

Mbowe ndiyo achana naye kabisa. Ni sawa na mshahara wa hao wote wawili hapo juu.

Yaani jamaa wanakula mshahara kwa siku, zaidi ya C Ronaldho.

Wenye wivu WAJINYONGE sana. Chadema tesa maana Tanzania yetu, kutesa kwa zamu.
 
Kuna habari mheshimiwa Dr. W. Slaa anapokea mshahara mkubwa kuliko katibu mkuu yeyote wa chama cha Siasa Tanzania. Kuna ukweli kwenye hili? Sio kwamba napinga - anastahili kwani aliachia jimbo lake kwa maslahi ya chama.

Hivi tumekosa mambo ya kujadili mpaka tuanze kujadili mishahara ya watu; halafu tutaanza kuangalia wa JK na wa pinda, na wa Lipumba, na wa Mbatia; kwa maslahi ya nani hasa. Wanaowapa mishahara hiyyo bila kujali ni kiasi gani wanafanya hivyo kwa makubaliano maalum. Kuna maslahi gani katika kuhiji?

Wana JF, hebu tujadili mada zenye tija!
 
Acha kuropoka wewe....

Dr. Slaa mshahara wake unamkaribia CEO wa COCACOLA wa HQ huko USA.

Jamaa analambishwa kitu kama $ 40 Mlns za US kwa mwaka.

Na Makamu wake Zitto, yuko na mshahara sawa na CEO wa MAERSK, huko Denmark.

Mbowe ndiyo achana naye kabisa. Ni sawa na mshahara wa hao wote wawili hapo juu.

Yaani jamaa wanakula mashahara kwa siku, zaidi ya C Ronaldho.

Wenye wivu WAJINYONGE sana. Chadema tesa maana Tanzania yetu, kutesa kwa zamu.

Mh. Mbona haya maneno yamekaa kama SOPHIA SIMBA kayapost humu.
 
Akili za kusikia, changanya na za kwako. Wee unakuwa kama siyo Mbayuwayu Mkuu??

Leo nina siku nzuri maana ningelikupa maneno ya Ovyo. Just read me between the line.

NEVER ARGUE WITH A FOOL.

Ahhh, nilisahau. Ndege kama hii, Zitto kaagiza kwa safari zake za ndani na nje.

Sijui Mbowe wataagiza ndege za aina gani hivi karibuni.
citation-vii-exterior.jpg

Mh. Mbona haya maneno yamekaa kama SOPHIA SIMBA kayapost humu.
 
Back
Top Bottom