Dr. Slaa kuapiswa kama Raisi katika sofa hili

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Leo katika pitapita yangu nikakutana na sofa jekunde sehemu mahususi ya kumuapisha Raisi wetu Dr. wa ukweli ambaye alitakiwa kushinda kihalali katika jukwaa hili pale Kawe roundabout kwa Mh.Halima mdee

Wakuu imekaaje hiii......
 
Attachments

  • IMG00419-20101105-0725.jpg
    IMG00419-20101105-0725.jpg
    94.1 KB · Views: 249
Nyie mtamuapisha Rahisi weny wa kuchakachua sie huku kawe tunamuapicha Dr. wetu wa ukweli ngoma droo kama Zenji vile
 
Leo katika pitapita yangu nikakutana na sofa jekunde sehemu mahususi ya kumuapisha Raisi wetu Dr. wa ukweli ambaye alitakiwa kushinda kihalali katika jukwaa hili pale Kawe roundabout kwa Mh.Halima mdee

Wakuu imekaaje hiii......

vidicteta vidogovidogo visivyokubali maoni ya wananchi kuwa kikwete kashind
 
mkuu, kwa kweli huenda ikachukua muda kwa rais atakayechaguliwa bila utatanishi katika nji hii

hiyo nukuu ni ya kweli kabisa mkuu
 
na baada ya jk kushinda watanzania walisherehekea nini zaidi ya ushindi wake uliokuwa mwanzo wa mfumuko wa bei?
 
Upuuzi mtupu wiki iliyopita ilikuwa sinza kijiweni leo Kawe r"about;

Mbavu zanguuuuuuuuuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom