Ndugu wana-JF!
Kama wengi wenu mnavyokerwa na ziara za rais Kikwete, mpaka amepachikwa jina la 'fastjet', kwa kufanya ziara nyingi tangu aingie Ikulu, lakini zenye maslahi kwa taifa.
Sasa leo namleta kwenu Dr Slaa, ambae ni katibu mkuu tu wa chama cha siasa, ila kwa nafasi yake hiyo amekuwa akifanya ziara za mara kwa mara Ulaya na hata Marekani.
Wote humu jamvini tunajua fika kama CHADEMA ni chama kichanga, lakini tangu huyu babu apate hiyo nafasi ya 'ukatibu mkuu', chama kimekuwa kikitumia gharama kubwa kugharamia ziara zake za Ulaya.
Hoja ya msingi hapa ni hii, kama Dr Slaa katika ngazi ya chama tu ana tokomea Ulaya kwa ziara zisizo na tija (yeye na mchumba wake wako Germany), hivi tukimpa Ikulu itakuwaje?
Mtanzania, JITAMBUE.