Dr slaa, kama kwenye ngazi ya chama tu umepotelea ulaya, itakuwaje ukiipata ikulu?

Status
Not open for further replies.

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Ndugu wana-JF!

Kama wengi wenu mnavyokerwa na ziara za rais Kikwete, mpaka amepachikwa jina la 'fastjet', kwa kufanya ziara nyingi tangu aingie Ikulu, lakini zenye maslahi kwa taifa.

Sasa leo namleta kwenu Dr Slaa, ambae ni katibu mkuu tu wa chama cha siasa, ila kwa nafasi yake hiyo amekuwa akifanya ziara za mara kwa mara Ulaya na hata Marekani.

Wote humu jamvini tunajua fika kama CHADEMA ni chama kichanga, lakini tangu huyu babu apate hiyo nafasi ya 'ukatibu mkuu', chama kimekuwa kikitumia gharama kubwa kugharamia ziara zake za Ulaya.

Hoja ya msingi hapa ni hii, kama Dr Slaa katika ngazi ya chama tu ana tokomea Ulaya kwa ziara zisizo na tija (yeye na mchumba wake wako Germany), hivi tukimpa Ikulu itakuwaje?

Mtanzania, JITAMBUE.
 
Lakini jamani tuliwachezea ball wale tembo japo walitufunga ila Samatta katuangusha
 
Ndugu wana-JF!

Kama wengi wenu mnavyokerwa na ziara za rais Kikwete, mpaka amepachikwa jina la 'fastjet', kwa kufanya ziara nyingi tangu aingie Ikulu, lakini zenye maslahi kwa taifa.

Sasa leo namleta kwenu Dr Slaa, ambae ni katibu mkuu tu wa chama cha siasa, ila kwa nafasi yake hiyo amekuwa akifanya ziara za mara kwa mara Ulaya na hata Marekani.

Wote humu jamvini tunajua fika kama CHADEMA ni chama kichanga, lakini tangu huyu babu apate hiyo nafasi ya 'ukatibu mkuu', chama kimekuwa kikitumia gharama kubwa kugharamia ziara zake za Ulaya.

Hoja ya msingi hapa ni hii, kama Dr Slaa katika ngazi ya chama tu ana tokomea Ulaya kwa ziara zisizo na tija (yeye na mchumba wake wako Germany), hivi tukimpa Ikulu itakuwaje?

Mtanzania, JITAMBUE.

Ndugu yangu, hii post ni ukweli mtupu ila subiri kushambuliwa na kutukanwa na vibaraka wake wanaokesha humu. wao sio kama mimi na wewe ambao huwa tunapita hapa baada ya kazi zetu zile, tunapita tu! Huko ulaya babu slaa kaenda kuomba pesa kwa ajili ya M4C na pia anataka vijana wake wa idara ya usalama wapewe mafunzo zaidi, kama yale ya awali waliyopewa kule Ujerumani na mtu ambaye hata hajui ujasusi ni nini, lengo lao ni kuchukua nchi 2015. Wanadhani mambo yao hayajulikani! Hayo ni machache tu! Hamy-D, mengi ya haya hawata comment hapa, maana wamekatazwa ila watakutukana generally!
 
Ndugu wana-JF!

Kama wengi wenu mnavyokerwa na ziara za rais Kikwete, mpaka amepachikwa jina la 'fastjet', kwa kufanya ziara nyingi tangu aingie Ikulu, lakini zenye maslahi kwa taifa.

Sasa leo namleta kwenu Dr Slaa, ambae ni katibu mkuu tu wa chama cha siasa, ila kwa nafasi yake hiyo amekuwa akifanya ziara za mara kwa mara Ulaya na hata Marekani.

Wote humu jamvini tunajua fika kama CHADEMA ni chama kichanga, lakini tangu huyu babu apate hiyo nafasi ya 'ukatibu mkuu', chama kimekuwa kikitumia gharama kubwa kugharamia ziara zake za Ulaya.

Hoja ya msingi hapa ni hii, kama Dr Slaa katika ngazi ya chama tu ana tokomea Ulaya kwa ziara zisizo na tija (yeye na mchumba wake wako Germany), hivi tukimpa Ikulu itakuwaje?

Mtanzania, JITAMBUE.

juzi hapa kulikuwa na uzi kuwa kwa nini dr. slaa haalikwi ulaya, marekani n.k. , sasa amesafiri unlalama tena! mbona unamind mwanaumwe mwenzio.. uko on heat or what?
 
Mliokuwepo Soweto tujuzeni nini kimejiri jioni huko?
Mmeona tofauti kati ya Polisi na J W T Z?
 
Toeni hoja na jibuni hoja siyo pumba.

BAVICHA (chadema) kaka hao, eti ndio wanataka wachukue nchi, yani kwa akili hizi za kibavicha (chadema) hata mbwa tu watagoma kuongozwa na CHADEMA.
 
Unafiki utakumaliza.

Ni ziara ipi ya Dr.Slaa ambayo haina tija?Leta hoja hapa na sio umbea na udaku

Ziara ya Dr.Slaa ilikuepo kabla ya juzi na chama kiliona ni ziara muhimu na adimu tofauti na Rais mbaye ni frequent trotter!

Chadema kuna mgawanyo wa madaraka na si Chairman wala Secretary General mwenye absolute power.Kuna division of power tofauti na CCM na serikali yake.

Kumbuka maombolezo hayajaisha na tukio limetokea juzi usiku.

Dakika chache tu baada ya tukio Dr.Slaa alitoa salamu za pole pamoja na kuwa mbali sana na Tanzania tofauti na viongozi wa kiserikali ambao wako hapa hapa lakini hawajatoa neno wapo silent na hata waliotoa neno wako in favour of the enemies!

Be rational,be objective mzee!
 
Manufaa ya ziara za fastjet yako wapi? Tanzania bado ni miongoni mwa nchi masikini zaidi Duniani. Deni la Taifa linazidi kupaa kila kunapokucha. Hali ya ujinga wa mtanzania inaongezeka kila sekunde, unadhani mauaji ya Albino na wazee kwa sababu za kishirikina zinaletwa na nini? Vipi kuhusu Babu kule Samunge? Alivuta mpaka na viongozi wetu wakuu. Hizo ndio dalili za kuongezeka ujinga Tanzania. Hizo safari za fast jet zinasidia nini? mimi ningekuwa rais nisingeenda Japan kuomba walimu wa sayansi. Mwalimu wa Ki-japa aje kufundisha shule za kata? ni kichekesho. Hata hivyo tatizo la Tanzania sio kukosekana kwa walimu husika lakini Serikali yetu haiwathamini walimu hivyo kuhama fani na kwenda kufanya kazi zingine. Aidha nani kasema Chadema ni chama kichanga?Chama hiki mwaka 2015 kinachukua nchi. Jiandae kwa hilo.
 
BAVICHA (chadema) kaka hao, eti ndio wanataka wachukue nchi, yani kwa akili hizi za kibavicha (chadema) hata mbwa tu watagoma kuongozwa na CHADEMA.

Hivi kwa akili zako ndogo unafikiri CCM ndo wenye akili???? Kweli mapenzi ya vyama yanawafanya mmekuwa wajinga sasa! Elimu zenu zinawafanya hata hamfikirii zaidi ya ushabiki wa kijinga. Vijana wa sasa bure kabisa, ulimbukeni na ujinga wa kushabiki unawadhuru!
 
Kiukweli Stars ilijitahidi,tujipange 2 kwa ajili ya kombe la mataifa Africa kwanza kwa msimu ujao,kurukia kombe la dunia ghafla 2!!!!!!tuwaachie kwanza wababe wa soka.But soon nasi tutafika hizo levo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom