Elections 2010 DR. Slaa jitokeze na utueleze ukweli wa kura zetu zimeenda wapi?

Gwallo

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
3,200
3,761
Dr. Slaa bado wapiga kura wako tunataka kufahamu ulishindwa kwa kura ngapi au ulishinda kwa ngapi na uchakachuaji ulitokeaje????? nimechoka kuvumilia naomba Dr.Slaa jitokeze sema na wananchi. Hizo data bado mpaka leo jamani.
 
hakuna ukweli wowote zaidi ya porojo na kutafuta huruma ya wahisani, ila ameshtukiwa kwamba ni msanii!!!!!!!!!!!
 
hakuna ukweli wowote zaidi ya porojo na kutafuta huruma ya wahisani, ila ameshtukiwa kwamba ni msanii!!!!!!!!!!!

Hapo kwenye red sijakuelewa kwa sababu waliopiga kura ni watz na si wahisani, kikubwa si kwamba Dr kashinda au kashindwa la msingi amabalo bado watz tunasubiri kusikia ni kwamba alipata kura ngapi na zimechakachuliwa ngapi basi, akiona wahisani wana manufaa ktk hili aendelee nao baadaye.
 
hakuna ukweli wowote zaidi ya porojo na kutafuta huruma ya wahisani, ila ameshtukiwa kwamba ni msanii!!!!!!!!!!!

Yale matokeo yaliyochakachaliwa kwenye website ya NEC hukuyaona? Mbona NEC wenyewe walikiri hadharani kuwa wamechakachua kura.
 
Sbilingi wapi ulisikia kuwa Dr. Slaa anaishi kwa huruma za wahisani? Wach akuropoka, sisi tuliomchagua na wengine wengi wamemwuliza swali, sio yeye anasema, sasa unamzushia "huruma za wahisani" kwa vipi? Hujui ni watu gani wanaoishi kwa hisani? NI watu kama wewe ambao mnatetea ufedhuli ili mweze kula kidogo; wewe njaa tu inakusumbua. Wapenda haki duniani hawajali what they get, bali wanajali what they can offer to others. They are selfish and selfless. Think before kukurupuka na kuandika mambo
 
Na bado!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na bado!!!!!!!!!!!!!!!!
"Na bado" nini sasa; pumba? Who feeds on pumba by the way? Inasikititisha kuona unaweza kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho na tena unajua fika kuwa Slaa si ombaomba; kwanini umchafulie jina? Amekukosea nini wewe? Watanzania wanampenda na kumheshimu; wewe kama humpendi na humheshimu ni sawa, ila unaposema jambo juu ya hata mtu ambaye humpendi, ni bora usemi ukweli, otherwise nobody will respect you or your words. Integrity is a virtue which you need to strive to have in life
 
Dr.Slaa tunaomba uje mbele ya umati wa watz utueleze ukweli. Tuletee takwimu kama zilivo. Ukizidi kuchelewa nahisi utakuta tumepotea,nakuomba uje mjomba watz tunakusubiri. Au takwimu hazipo?mbona ulisema tayari unao ushaidi wa ujambazi wa kura? Mjomba njoo tunakusubiri! Au uturuhusu basi tuondoke,kama umeridhika na unyanganyi wa kura tuambie sie turudi shambani kupalilia. Basi tunakusubiri dokta wa kweli.
 
Kura zimeenda tume ya taifa ya uchaguzi ili zitunzwe na baada ya kutangazwa kikwete kashinda ..
 
Back
Top Bottom