hakuna ukweli wowote zaidi ya porojo na kutafuta huruma ya wahisani, ila ameshtukiwa kwamba ni msanii!!!!!!!!!!!
hakuna ukweli wowote zaidi ya porojo na kutafuta huruma ya wahisani, ila ameshtukiwa kwamba ni msanii!!!!!!!!!!!
hURUMA YA WAHISANI KWANI NAE NI OMBAOMBA!??hakuna ukweli wowote zaidi ya porojo na kutafuta huruma ya wahisani, ila ameshtukiwa kwamba ni msanii!!!!!!!!!!!
Sbilingi wapi ulisikia kuwa Dr. Slaa anaishi kwa huruma za wahisani? Wach akuropoka, sisi tuliomchagua na wengine wengi wamemwuliza swali, sio yeye anasema, sasa unamzushia "huruma za wahisani" kwa vipi? Hujui ni watu gani wanaoishi kwa hisani? NI watu kama wewe ambao mnatetea ufedhuli ili mweze kula kidogo; wewe njaa tu inakusumbua. Wapenda haki duniani hawajali what they get, bali wanajali what they can offer to others. They are selfish and selfless. Think before kukurupuka na kuandika mambo
"Na bado" nini sasa; pumba? Who feeds on pumba by the way? Inasikititisha kuona unaweza kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho na tena unajua fika kuwa Slaa si ombaomba; kwanini umchafulie jina? Amekukosea nini wewe? Watanzania wanampenda na kumheshimu; wewe kama humpendi na humheshimu ni sawa, ila unaposema jambo juu ya hata mtu ambaye humpendi, ni bora usemi ukweli, otherwise nobody will respect you or your words. Integrity is a virtue which you need to strive to have in lifeNa bado!!!!!!!!!!!!!!!!