Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,682
- 149,886
Kwasababu aliwahi kutuambia kuwa alikuwa anakula mihogo, nina maswali yafuatayo kwake.
1.Kutoka kula mihogo mpaka kusoma Ulaya(kama ni mwanafunzi) hii ni hatua kubwa sana na ya kupongeza ila atuambie tu ni nani anagharamia masomo yake/nani alimwezesha?
Itakuwa vizuri zaidi kama atatuonyesha na "admission letter" yenye tarehe zile zile au tarehe zinazokaribia kipindi kile anaondoka nchini.
2.Kama ni mwajiriwa,atuonyesha barua ya kuitwa kazini/kuajiriwa ya tarehe zile zile alizoondoka nchini maana huwezi kwenda kuishi Ulaya ghafla tu kama huna ajira ya kueleweka na kwa hadhi yake hatutarjii alienda Ulaya akitegemea kuishi kwa kazi za vibarua/kazi za kubahatisha/casual labour.
Ikiwezekana atuonyesha na kibali cha kufanya kazi cha tarehe zile zile alizoondoka nchini.
3.Kama ni mfanyabiasha huko Ulaya hivi sasa, tunaomba atueleze ni wapi alipata mtaji wa kwenda kufanya biashara huko Ulaya.
Karibu mh.kwa ufafanuzi.