Na hili ndio tatizo...kura zitapigwa on party lines.
si chama chake kinaweza kumchagua kwenye lile fungu la wabunge wa upendeleo!Spika lazima awe mbunge au mtu yeyote mwenye sifa ya kuwa mbunge na atokane na chama cha siasa.
si chama chake kinaweza kumchagua kwenye lile fungu la wabunge wa upendeleo!
Even if it's legit, the Dr Slaa (my Slaa) I know would not jump at this kind of mediocrity.Kimkakati inawezekana kabisa kwa pamoja kumsaidi DR. Slaa awe Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Hapa ndipo pa kupima uwezo wa wanamkakati wetu wa CHADEMA katika kufanya Lobbying.
Kimkakati inawezekana kabisa kwa pamoja kumsaidi DR. Slaa awe Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania. Hapa ndipo pa kupima uwezo wa wanamkakati wetu wa CHADEMA katika kufanya Lobbying.
Hana sababu, sasa ni wakati wa kujenga chamaa hasa kule cCHADEM walikofanya vibaya
chadema fanyeni uchaguzi kwanza ndani ya chama chenu, na acheni upuuzi wa kuchaguana kiundugu na kinasaba, kama vile mtoto wa ndesamburo, mke wa mboe, mama mkwe wake, mtalaka wa slaa na wengine wengi wameingia ktk uongozi wa juu wa chama mbali na kuwapa kipaumbele familia zao ktk wabunge wa viti maalum!!!
kama chadema haiwezi kurekebisha kasoro na uchakachuaji wa chaguzi zake, jee, dhamira ya kukosoa tume ya uchaguzi tz wataitoa wapi?
kama huwezi kusafisha uchafu ulioko chumbani kwako utaweza kusafisha nyumba yote?
Dr.Slaa jenga chama chako na nina amini Mbowe atakuachia U N/kiti ili ukiimarishe chama kwani utakuwa na ruzuku ya kutosha.Ila weka wazi kwenye vyombo vya habari vya nje na ndani vielelezo vya wizi wa kura ili utaratibu huo ubadilishwe ili kipindi kijacho SSM ichezeshwe sindimba.Usiende Taifa kushuhudia kuapishwa kwa mtu aliyeiba kura pia usije ukashuhudia atakapoaanguka tena jukwaani.Sio urais tena.ama kweli chadema mna uchu wa madaraka.daah
Aimarishe chama na kufichua njama zote za wizi wa kura.Sio urais tena.ama kweli chadema mna uchu wa madaraka.daah
Lakini hiyo kazi nayo haiweziiii!si chama chake kinaweza kumchagua kwenye lile fungu la wabunge wa upendeleo!