Dr. Slaa: Daftari la wapiga kura liboreshwe kabla ya kura ya maoni!

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,889
32,289
Wanaukumbi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dr.Slaa kasema kuwa chama chake hakitashiriki kura ya maoni ya katiba bila daftali la kupigia kura kuboreshwa, wala hatutaingia katika zoezi hilo bila kuondolewa wapiga kura hewa ndani ya daftari na kuingizwa wapiga kura wapya waliofikisha miaka 18. ikiwa ni pamoja na waliochwa mwaka 2010 kwa sababu mbalimbali.

SOURCE; MAWIO

My Take.....

Dr.Slaa mbona unaanza visingizio mapema wakati ulipokuwa unazunguka na Chopa kukusanya maoni ya katiba haukuyajua haya.

Dr.Slaa wewe ulisema Uchaguzi Mkuu uliyopita mwaka 2010 ulishinda usalama wa taifa wakakuibia kura zako leo tena unaanza kulalamika, Dr.Slaa mlipokwenda Ikulu na wenzako kuonana na rais Kikwete mbona haukayasema haya unasema leo.
 
Wanakumbi.

Dr.Slaa wewe ulisema uchaguzi uliyopita mwaka 2010 ulisema ulishinda uchaguzi usalama wa taifa wakakuibia kura leo tena unaanza kulalamika.

Wewe uliona sababu zake na kukimbilia kuanzisha uzi .Hukuona haja ya mantiki ya alichosema.Ni kwanini serikali haitaki kuboresha Daftari hilo?
 
unajichoresha Ritz!!!!!
Ni haki ya kila mwenye miaka 18 na zaidi kupiga kura, iweje wengine mpige na wengine wasipige kwa kuzuiwa makusudi?

Boresheni daftari.
 
Last edited by a moderator:
unajichoresha Ritz!!!!!
Ni haki ya kila mwenye miaka 18 na zaidi kupiga kura, iweje wengine mpige na wengine wasipige kwa kuzuiwa makusudi?

Boresheni daftari.
Wapi serikali imesema kuwa haitaboresha daftari la wapiga kura?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni lini serikali imetangaza halitarekebisha daftari la wapiga kura? Aliesikia hilo tangazo atujuze.
 
Ahsante Dr. W. SLAA kwa kulishitukia hilo mapema! Tunaomba wapiga kura wapya wenye 18yrz waöngezwe alafu wale wapiga kura hewa waondolewe.
 
Wewe uliona sababu zake na kukimbilia kuanzisha uzi .Hukuona haja ya mantiki ya alichosema.Ni kwanini serikali haitaki kuboresha Daftari hilo?
Usipende kushabikia kila kitu kwa sababu ya Dr.Slaa.

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva amesema wazi kuwa tume yake inajiaandaa kuboresha daftari hilo kwa ajili ya uchaguzi mkuu siyo kwa ajili ya kura ya maoni ya Katiba Mpya.
 
daftari la kupigia kura kuboreshwa logically ni lazima,hatujui wangapi wamekufa,wamehama,na vilevile ni haki kuwaangiza katika daftari waliofikisha miaka 18(new generation-division five)
 
daftari la kupigia kura kuboreshwa logically ni lazima,hatujui wangapi wamekufa,wamehama,na vilevile ni haki kuwaangiza katika daftari waliofikisha miaka 18(new generation-division five)

Jina la mabina liondolewe! na wale madiwani kibao tunaokwenda kurejea chaguzi kwenye kata walizo-RIP
 
Wanakumbi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dr.Slaa kasema kuwa chama chake hakitashiriki kura ya maoni ya katiba bila daftali la kupigia kura kuboreshwa, wala hatutaingia katika zoezi hilo bila kuondolewa wapiga kura hewa ndani ya daftari na kuingizwa wapiga kura wapya waliofikisha miaka 18. ikiwa ni pamoja na waliochwa mwaka 2010 kwa sababu mbalimbali.

SOURCE; MAWIO

My Take.....

Dr.Slaa mbona unaanza visingizio mapema wakati ulipokuwa unazunguka na Chopa kukusanya maoni ya katiba haukuyajua haya.

Dr.Slaa wewe ulisema Uchaguzi Mkuu uliyopita mwaka 2010 ulishinda usalama wa taifa wakakuibia kura zako leo tena unaanza kulalamika, Dr.Slaa mlipokwenda Ikulu na wenzako kuonana na rais Kikwete mbona haukayasema haya unasema leo.

sasa hivi watanzania wameshajanjaruka hawana muda wa kusikiliza maneno ya waiba wake za watu Mbowe na Slaa, mimi na familia yangu tutapiga kura ya maoni.
 
Hiyo haiwezi kuwa sababu kwa sasa, kuna mambo ambayo lazima nayeye awe mkweli, kwa sababu moja ya ahadi endapo Slaa angekuwa ''raisi'' 2010 ilikuwa ni katiba mpya ndani ya siku mia moja za mwazo za ''utawala'' wake.Naamni isingetekelezeka na hata daftari asingeweza kurekebisha. Kila mtu anataka Katiba mpya lakini sipendi jinsi wanaiasa wanavyojimilikisha Katiba ya nchi, mimi ninaamini wananchi walio na wanachama wa vyama vya siasa ni wachache ukilinganisha na wasio vyama...........sasakitka CCM,CDM,NCCR nk wakagoma kushiriki upigaji kura waache tu sababu pia sio watu wote kwenye daftari hupiga kura.Hoja hapa tufuate uaratibu pia nchi haiwezi kueeshwa kwa kumridhisha kila mtu.
 
The president Matirial Dr Wilbroad Slaa.
Hizi ni issue ambazo kwa kiongozi Makini, Ni lazima kuzigundua.
 
Dr.Slaa anatoa vitisho kwa Chadema haitashiriki kura ya maoni ya katiba mpaka daftari la wapiga kura litakapokuwa limeboreshwa, NEC wamesema wanajiandaa kuboresha daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
 
Dr anataka kuua soo ya gongo?

Haijalishi ni nani amesema ila issue ya kuboresha daftari kabla ya kura ya maoni ni muhimu ingawaje lina changamoto zake, muda ikiwa ni moja wapo.
 
Serikali inatakiwa iweke utaratibu wa kuboresha daftari la wapiga kura walau mara moja baada miezi mitatu ili kuwawezesha wananchi kupiga kura wakati wowote hasa kwenye chaguzi ndogo za.ubunge na udiwani
 
Back
Top Bottom