Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
Wanaukumbi.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dr.Slaa kasema kuwa chama chake hakitashiriki kura ya maoni ya katiba bila daftali la kupigia kura kuboreshwa, wala hatutaingia katika zoezi hilo bila kuondolewa wapiga kura hewa ndani ya daftari na kuingizwa wapiga kura wapya waliofikisha miaka 18. ikiwa ni pamoja na waliochwa mwaka 2010 kwa sababu mbalimbali.
SOURCE; MAWIO
My Take.....
Dr.Slaa mbona unaanza visingizio mapema wakati ulipokuwa unazunguka na Chopa kukusanya maoni ya katiba haukuyajua haya.
Dr.Slaa wewe ulisema Uchaguzi Mkuu uliyopita mwaka 2010 ulishinda usalama wa taifa wakakuibia kura zako leo tena unaanza kulalamika, Dr.Slaa mlipokwenda Ikulu na wenzako kuonana na rais Kikwete mbona haukayasema haya unasema leo.