Dr. Slaa azidi kupasua anga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa azidi kupasua anga!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Deodat, Oct 10, 2010.

 1. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwa udadisi mwepesi niliofanya kwenye facebook pages za Dr. Willbroad Slaa na ile ya "Dr" Kikwete, mpaka leo (Jpili) Slaa ana fans 11,442 wakati Kikwete ana fans 5019 (Jakaya Mrisho Kikwete for 2010).

  My take: hata kama watumiaji wa facebook hawawakilishi idadi ya watanzania wote, hiyo tofauti ya "number of fans" bado inatuambia kitu. Kikwete jiandae kukusanya kandambili na bakuli zako pale ikulu kwani kuna kila dalili Slaa ndio atakuwa mkazi mpya wa hilo jengo takatifu.
   
 2. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Jakaya 5018,ya kwangu niliweka ili niweze kukoment kwenye wall yake.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tamati ni 31 oct
   
 4. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  ha ha ha! JK jasho litamtoka mwaka huu!
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Siku ambayo watanzania watamwambia JK "sasa basi!"
   
 6. K

  King kingo JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kila sehemu ni hivyo hivyo halafu REDET wanakuja na utafiti wao wa kuchonga
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Huu ndiyo ukweli wa JK na hakuna mwingine
   
 8. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2010
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Redet na synovate sijui wanatumia Sample za wanasisiemu so there is no realistic. Realistic ipo ndani ya mitandao kama jf, fb na mingineyo hiyo ndio inawakilisha maoni halisi kwani mtu haoni aibu yuko alone anapost ktk mtandao. So subiri uone mana kila njia inatumika kumuangusha Slaa lakini DR wa ukweli Slaa anazidi kukusanya watu. Please i need changes tupige kura kumuondoa JK madarakani.
   
 9. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Msema kweli Oktoba 31.
   
 10. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Msihofu, hizo ni njama za thithiem kudanganya umma. Methodology zinasemaje za hayo matokeo?, kati ya hao reseachers mbona hatu-collide nao tutoe nasi maoni yetu?
   
 11. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Idadi ni kubwa kuliko sample ya REDET. angalau wangetumia hii; sample size hii ni 633% ya ile ya REDET
   
Loading...