DR. Slaa awaonya polisi wasije shangaa wanaangukia mikononi mwa Luis Occampo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR. Slaa awaonya polisi wasije shangaa wanaangukia mikononi mwa Luis Occampo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Maige Nhigula Jr., Jan 11, 2011.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dr Slaa ametoa onyo kali kwa polisi kuacha mara moja kukiuka haki za binadamu kwa kuwanyima watanzania haki yao ya msingi ya kikatiba ya kufanya maandamano ya amani na kuwashambulia wana wa nchi kwa mabomu, risasi za moto na virungu na maji ya kuwasha na kusababisha vifo vya watanzania wasiokuwa na hatia.

  Amesema matukio hayo ya polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi kwa rai wasio kuwa na hatia tunakaribisha mazingira ambapo Luis Moreno Occampo akashuka kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania.

  Hali kadhalika Dr Slaa ameainisha kuwa polisi walianza kuvuruga amani kwenye mkutano NMC wakati shekh akisoma dua kabla ya kuanza kwa mkutano na kuchafua hali ya hewa na amani kutoweka kabisa.

  Source AMKA NA BBC LEO TAREHE 11 JANUARY 2011 BBC Swahili - Mwanzo
   
 2. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwani mpka occampo aje? si hatuwezi? shem on all lawyers!
   
 3. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na mahakama zetu hizi haki itatoka wapi wakati majaji wote wanateuliwa na unayemshitaki na ni makada kama jopo la majaji sita walishindwa hata kutafsiri katiba na kutoa maamuzi ya kisheria juu ya mgombea binafsi
   
 4. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inabidi wazalendo kama Mtikila na private citzens wenye taaluma ya sheria inabidi kuwashikia bango polisi kwa kufungulia mashitaka ya ndani kwa kutumia mahakama kuu au mahakama ya afrika mashariki, Kuna wanasheria wengi sana ambao wote wana leaning CHADEMA mbona mnatuangusha, hii ni kesi ambayo itakupa HESHIMA kubwa kwa jamii ya watanzania kwa nini wanasheria wetu wanashindwa kutumia nafasi hii kuliburuza jeshi la polisi mahakamani haraka iwezekenavyo.

  Jamani wanasheria this is a missed opportunity to do something good for your country.
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  una habari jaji mkuu wa sasa othman chande alishindwa kura za maoni kutaka kuteuliwa kugombea ubunge kutpitia ccm? hapo utasema kweli tuna jaji?
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  With the daily rising degrees of POLICE BRUTALITY, INSTANCES OF COLD-BLOOD KILLINGS AND OR ATTEMPTS in Tanzania, one can hardly RULE OUT the possibility of International Court of Justice and Moreno O'Campo pressing for some CRUCIAL levels of accountability following the infamous Arusha killings.

  They may well want the Magogoni State House to prove otherwise that the ARUSHA KILLINGS were not a State pre-meditated affair by top leadership and later put into action by their ever loyal police force given significant leads that are inherently supportive of the embedded doubts as are carried in a presidential insinuation in a December 31, 2010 speech to the nation.

  More so, the exposure and career development of Said Mwema in the international policing at Interpol seems to be miserably deminishing as it failed to show direction of police functions and the sanctity of the constitution of fundamental human rights observance at all times.

  At some point in time, some officer may be forced to carry their own burdens to answer charges brought against their actions, today or tomorrow.
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Aligombea wapi huyo?
   
 8. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Tena Mkuu Slaa angewaeleza kabisa polisi waache huo ujinga wa kuchangamkia tenda za wanasiasa kupita kiasi. Mambo yakiharibika wasishangae wakitwishwa mzigo wote kama vile wao ndio wenye kiherehere cha kukiuka haki za binadamu. Kujikomba huko mwishowe dhiki na mahangaiko tu. Mtu unaona kabisa mijitu inahujumu mabilioni halafu wewe kwa kujikomba ndio unakuwa kimbelembele kuua na kujeruhi binadamu wenzio wanaopigania hata haki zako. Ni ujinga usio kifani kwa polisi wetu.
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Naona kuna Mkuu hapo Juu amekuuliza haujajibu..... ALIGOMBEA WAPI HUYU?
   
 10. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mkuu hebu tuaminishe kwanza, ni jimbo gani aligombea?
   
 11. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kame kweli Jaji Mkuu Chande alikuwa mgombea wa CCM aliyeshindwa kwenye kura za maoni, inamaana ni mwanachama mwaminifu wa CCM HIVYO anapoteza sifa ya kuwa chief justice na hii ni very BIG ISSUE inayopaswa kumulikwa, hivyo kama kweli wekene data zake aligombea jimbo gani na lini? then we may start kummulika from there.
   
 12. D

  DENYO JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi ninaamini tukizipeleka hizi habari kwa kasi ninayoiona ndani ya jf -muda si mrefu polisi watawajibishwa. Kiukweli polisi wamepoteza dira kabisa ni tawi la ccm na wanafanya kazi hiyo unproffessional. Kazi yao ni kulinda rai na mali zao -bahati mbaya sana wameacha kazi yao ya msingi sasa wanaua na kuharibu mali za raia. Majambazi wanacharuka kila kona polisi wanahangaika na nguvu ya umma. Dr slaa hawa tumewachelewesha sana wanatakiwa kushitakiwa nje siku nyingi manake wamepoteza dira kabisa.
   
 13. nyondoloja

  nyondoloja Senior Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hatuna wanasheliya tunawababaishaji
   
 14. Sekenke

  Sekenke Senior Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Taking Matters to ICC, where Moreno Occampo Presides:

  Pursuant to the Rome Statute, the Prosecutor can initiate an investigation on the basis of a referral from any State Party or from the United Nations Security Council. In addition, the Prosecutor can initiate investigations proprio motu on the basis of information on crimes within the jurisdiction of the Court received from individuals or organisations (“communications”).

  See http://www.icc-cpi.int/Menus/ICC/Situations+and+Cases/

  Communications and Referrals

  ...Neither referrals, whether by a State Party or the UN Security Council, nor private communications automatically "trigger" the powers of the Prosecutor. In all cases the OTP must first conduct an analysis of information in order to determine whether the statutory threshold to start an investigation is met: there must be “a reasonable basis to proceed”. Where the Prosecutor receives a referral, Article 53 provides that the Prosecutor shall initiate an investigation unless he determines that there is no reasonable basis to proceed under the Rome Statute. However, when the Prosecutor receives a communication, the test is the same but the starting point is reversed: the Prosecutor shall not seek to initiate an investigation unless he first concludes that there is a reasonable basis to proceed. Once a decision to initiate an investigation is taken, senders of related communications are promptly informed of the decision, with reasons for the decision.


  Content of information sent to ICC
  The Statute does not specify what the communication should contain. The Office analyses all communications received and the extent of the analysis is affected by the detail and substantive nature of the information available. If the available information does not provide sufficient guidance for an analysis that could lead to a determination that there is a reasonable basis to proceed, the analysis is concluded and the sender informed. This decision is provisional and may be revised in the event that new information is forthcoming.

  See: http://www.icc-cpi.int/Menus/ICC/Situations+and+Cases/Referals+and+communications/

  Now: Somewhere in the Statute:

  Article 5. Crimes within the jurisdiction of the Court.

  1. The jurisdiction of the Court shall be limited to the most serious crimes of concern to the international community as a whole. The Court has jurisdiction in accordance with this Statute with respect to the following crimes: (a) The crime of genocide; (b) Crimes against humanity; (c) War crimes; (d) The crime of aggression... etc etc...

  2. For the purpose of paragraph 1: (a) ‘Attack directed against any civilian population’ means a course of conduct involving the multiple commission of acts referred to in paragraph 1 against any civilian population, pursuant to or in furtherance of a State or
  organizational policy to commit such attack;... etc etc


  Download Rome Statute here: http://www.icc-cpi.int/NR/rdonlyres/EA9AEFF7-5752-4F84-BE94-0A655EB30E16/0/Rome_Statute_English.pdf
   
 15. W

  WAKIJIJI Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Slaa ni mchochezi na yey ndiye wa kushtakiwa kwa kuchochea na kuamuru wafuasi wake kuvamia kituo cha polisi soma hapa:

  Mbowe na wabunge hao ndio walikuwa wa kwanza kukamatwa jana mchana wakati wakiongoza maandamano hayo huku Dk Slaa akiwa amekamatwa jioni ya saa mbili kasorobo usiku pamoja na mbunge wa Moshi mjini, Philemon Ndesamburo.

  Kabla ya Dk Slaa na Ndesamburo kukamatwa walihutubia maelfu ya wananchi waliokuwa wamefurika katika viwanja vya NMC eneo la Unga Limited lakini baadae walitangaza kuuvunja mkutano huo na kuamuru umati wote uelekee kenye kituo kikuu cha polisi walikokuwa wameshikiliwa Mbowe na viongozi wengine ili wakafuatilie kwa pamoja hatima ya viongozi wao.

  Source: Tanzania Daima, ukurasa wa 2, alhamisi tarehe 6 Januari. 2011
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  mkuu hujajibu swali bado alitaka kugombea wapi?
   
Loading...