Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza Mjini Libravile,Gabon, Kukiwa na nchi washirika 43, Maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani Afrika vikiwa na wakati mgumu, Hasa linapokutazamiwa suala la Uhuru.

WASHNGTON

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KIMEVUNJA REKODI YA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA KWA KUFIKISHA IDADI YA WANACHAMA MILIONI(10)

HAYO YALIBAINISHWA HIVI KARIBUNI NA MKUU WA UTAFITI SERA NA MAHUSIANO WA CHAMA HICHO AKIWA MJINI WASHNGTON

ALISEMA
CHADEMA KWA SASA NI TAASISI INAYOJITEGEMEA KWA KUWA NA WQNACHAMA ZAIDI YA MILIONI KUMI TANZANIA BARA PEKEE.

HATUA HIO INAIFANYA CHADEMA KUVUNJA REKODI YA VYAMA VYOYE TANZANIA IKIWEMO CCM,CUF,TLP,UDP,NK
 
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi.

Hongera dr
 
Rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na nani hapo mwanzo na aliishikilia kwa muda gani???!!!!
Aliyeishikilia rekodi alikuwa kiongozi wa shirika gani???!!!
Nini kigezo cha kuvunja rekodi hiyo maana ikiwa wazi na wenyeviti wengine wakijua itakuwa vizuri!!
 
Usimamizi wa fedha za CCBRT haziusiani na Chadema Mkuu

Ok.Hapo sawa.Maana kwenye CCBRT Dr Slaa sio mtendaji wa kila siku kama ilivyo akiwa Chadema,na chakula yake anaitegemea chakula,hivyo ukitaka kumjua Dr Slaa kwenye uadilifu wake kwenye pesa itazame Chadema.
 
Sasa mbona umesema kiongozi wa chama cha upinzani????!!!
Mkurugenzi wenu wa mafunzo analipwa bure kama nyie ndio mnaofunzwa!!!!!!
Watanzania bana!!! Kwa hiyo ulitaka katika hii habari cheo chake cha uongozi chama cha upinzani kisitajwe!!! Tubadilike!!
 
Ndo maana kusema kweli CCM wanamhanya Dr.Slaa make ni soo kwa viongozi wabadhirifu kote na hii ni heshima ya juu sana ya kiongozi wetu

cc: E.Lowassa.
 
hakuna kiongozi mwadilifu kama Dr Slaa, kiongozi anayeheshimu misimamo na mwenye kusoma alama za nyakati, we trust you Dr!
 
ni dr slaa ni kiongozi wa kuigwa ndani ya nchi yetu

Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.
 
Haya magamba njooni muanze kubishana juu ya hili.
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi.
 
Nimeambia na naskia alishamuiga mama yako ndo mana familia yenu ikapalaganyika na ww ukakosa malezi hadi sasa unaisha kwa kutegemea jk7
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom