Dr Slaa atolea ufafanuzi Kuongezeka kwa posho za wabunge

jiheshimu, Dr Slaa anapewa Mil 7 kwa kazi anayofanya, hata Maximo alikuwa anapewa zaidi Mil 23 na waTZ walinyamaza kwa sababu ni mkataba aliopewa, je wabunga wana mkataba wa mil 7 na waTZ? wakati kuna wanaosema hizi hela ni nyingi zipunguzwe?

Nakubaliana Dr Slaa hata angelipwa mil 50 kwa kazi anayofanya, maana ulinzi wake tu ili mafisadi wasimdhuri si chini ya mil 20 kwa mwezi.

Mizunguko ya Tz nzima na kuwahamasisha waTZ soi chini ya mil 20 kwa mwezi.

Basi chakula chake na familia hiyo 10 itatosha labda.

Kwa sababu hii ni business, kaokoa pesa nyingi sana za wananchi, mfanoa epa, madini, BOT, etc

Nijiheshimu vipi mkuu, wakati
naulizia matumizi ya kodi yangu nayolipa serikali kuu?
 
usisumbue akili yako kulielimisha hilo pumbavu sie tupigane na tusilkatishwe tamaa na haya majizi ila nakwambia leo 2015 tutaikomboa hii nchi na hilo pumbavu nalo litapata haueni...naudhika pale mtu anapoujua ukweli afu anapretend 2be abnormal on thinking capacity
 
Tatizo la pro-Chadema JF ni upeo wa kupambanua mambo..

Hawataki kabisa watu wahoji mshahara wa Dr. Slaa pamoja na posho zake anazopewa Chadema, lakini wanataka Dr.Slaa yeye ndio awe mwenye mamlaka yakuhoji posho za wengine..

Mimi binafsi lazima nihoji posho zote ikiwemo mshahara wa Dr. Slaa sababu ndani hizo posho mishahara kuna kodi yangu nalipa serikali kuu

Jipambanue kama wewe ni miongoni mwa wanaonufaika na hizi posho ili si tujue, maana tunafahamu wanaotaka posho 1. Shibuda 2. Ritz (...........) Niseme nisiseme, JF rules applies.
 
unalipa kodi wewe au masihara!

Mwalimu Nyerere katuachia kazi kweli...kichwa kama hiki kinadhani kodi wanalipa matajiri tu...

Mkuu hata wewe ukinunua Soda, Sabuni, Vocha za simu, Mkate, Unga, Chumvi, unalipa kodi!
 
Nijiheshimu vipi mkuu, wakati
naulizia matumizi ya kodi yangu nayolipa serikali kuu?

Mimi nataka kiongozi yeyote wa CDM ahoji posho na Mshahara wa Dr Slaa, na si kuna wewenw ndugu yako Nape? mbona si hatukuhoji mshahara wa Makamba ka katibu mkuu wa CCM au Mukama, Nape na wengineo?, Ukiwa mwana CCM au unaunga mkono Ufisadi lazima utahoji mambo ya wanaokunyima usingizi.

Kama wewe si mwana CDM, huna haki ya kuhoji posho ya viongozi wa CDM, maana hazikuhusu zihoji za viongozi wa umma kama wabunge, wakurugenze etc, kwa mfano PPF na NSSF watu wanapiga pese kama hawana akili nzuri na bado hakuna measurable output kwa jamii.
 
"waliwashindisha kwa kishindo na sasa tunatandikwa watanzania wote kwa kishindo hicho hicho" DR P.W Slaa
 
Lets us not confuse matters. Hakuna hotel ya laki 200,000/= per day Dodoma. Hao wabunge waopiga kelele za ongezeko la posho ndo hao hao wanaolala kwa kwenye hotel za 30,000 to 50,000/=. fact will always remain as a fact..!
aksante baba ni ukweli huo..........
 
KIUCHUMI CLASSICAL, (si
kimaadili): Kitendo cha
wabunge kuongezewa POSHO
ni cha KUPONGEZWA
KABISA!!!!! kwa kuwa: 1. Posho
ni INCENTIVE TO WORK. Hivyo
ufanisi wa mbunge utaimarika
ktk kutumikia wananchi, 2.
Kitendo hiki kitashawishi
ELITES WA NCHI HII kuhamia
bungeni 2015!! hivyo bunge
litaingiliwa na wataalam (who
search for green pasture)
watakaokuwa chachu ya
maendeleo kupitia mipango
na maamuzi..., 3. Posho
ITAPUNGUZA (sio kumaliza)
tabia ya wabunge kujihusisha
na ubadhirifu, na biashara
nyingine.
 
Mimi nataka kiongozi yeyote wa CDM ahoji posho na Mshahara wa Dr Slaa, na si kuna wewenw ndugu yako Nape? mbona si hatukuhoji mshahara wa Makamba ka katibu mkuu wa CCM au Mukama, Nape na wengineo?, Ukiwa mwana CCM au unaunga mkono Ufisadi lazima utahoji mambo ya wanaokunyima usingizi.

Kama wewe si mwana CDM, huna haki ya kuhoji posho ya viongozi wa CDM, maana hazikuhusu zihoji za viongozi wa umma kama wabunge, wakurugenze etc, kwa mfano PPF na NSSF watu wanapiga pese kama hawana akili nzuri na bado hakuna measurable output kwa jamii.

Mkuu, mshahara wa Dr. Slaa unatokana na kodi zetu ambazo Chadema wanapewa na serikali zaidi ya milioni 800 kwa mwaka..

Chadema ndio watoa kila mwezi milioni 7 wanampa Dr. Slaa, sio pesa za Mbowe ni pesa zenu watanzania..

Sasa unaposema wenye haki ya kuhoji ni wanachadema sio kweli, watanzania wote wanayo haki ya kuhoji mshahara wa yoyote anaepata kupitia kodi zetu
 
Tatizo la pro-Chadema JF ni upeo wa kupambanua mambo..

Hawataki kabisa watu wahoji mshahara wa Dr. Slaa pamoja na posho zake anazopewa Chadema, lakini wanataka Dr.Slaa yeye ndio awe mwenye mamlaka yakuhoji posho za wengine..

Mimi binafsi lazima nihoji posho zote ikiwemo mshahara wa Dr. Slaa sababu ndani hizo posho mishahara kuna kodi yangu nalipa serikali kuu
Na Wewe unalipa kodi? Mbona sijaliona jina lako kwenye walipaj Wakubwa wa Kodi? Kama ni ban bora nipate, Ila wewe ni shoga na kama Unabisha weka picha ya masaburi yako
Tuone kama hayana mlija
 
Na Wewe unalipa kodi? Mbona sijaliona jina lako kwenye walipaj Wakubwa wa Kodi? Kama ni ban bora nipate, Ila wewe ni shoga na kama Unabisha weka picha ya masaburi yako
Tuone kama hayana mlija

Mkuu, kwani wewe kitengo gani TRA?

Unaona sasa unahamaki bure hii ni JF kuna mawazo tofauti tofauti, ukikasirika na akili inahama mkuu...

Mods: namuombea msamaha mkuu wangu msimpe ban..

Najitoa kwe hii thread sawa mkuu wa kazi..
 
Binafsi anachopata dr slaa hakitoshi anasitahili maradufu wakuu,the way alivyobadilisha upepo wa kisiasa ghafula nchini kiasi cha kuyachanganya magamba mpaka dakika hii si haba na hii itabaki kuwa historia ya aina yake
 
Issue si kwa wabunge tu bali wafanyakazi wengi wakubwa wa serikalini. Mimi nilishawahi kukaa kikao kifupitu cha 2hrs nashangaa napokea bahasha ya 150,000/= this is not right kwa nchi maskini kama hii. Ulaya na Amerika ambao tunawaomba msaada hawafanyi huo ujinga sisi tukishapata misaada hiyo tunajimwaga. Raisi atoe maamuzi magumu kwenye bajeti ijayo
 
Ama kweli dr slaa kasema kweli, watanzania acha tupigike kabisa, tulielezwa tukaona tshirt,kofia ,chumvina sukari kilo moja2 ni ukombozi:Haya sasa...
 
Back
Top Bottom