Dr slaa ataja matatizo matatu yanayokabili tanzania

Bocho

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,489
313
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR W Slaa Agosti 2010.

>>Hivi wenzangu mimi naona hiyo ni moja nyie mnaziona tatu kweli?

>>Au ndio tuseme hesabu ni mgogoro?

>>Hivi ni kweli kuna sababu moja tu ya umaskini Tanzania?

yeye mwenyewe ni tatizo na Phd yake fake
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh! Bocho banah!:heh:
 
Last edited by a moderator:
Bi josephine anamchanganya sana huyu mzee,sijui akipigwa kibuti itakuwaje,atachanganyikiwa
 
Do you know a meaning of "second to none"......
Tuanzie hapa kwanza
 
Naona matusi tu mpaka sasa badala ya hoja. Makamanda mteteeni DR wenu wa Phd alitumia falsafa gani hapo acheni porojo?
 
Hii statement ni kutoka maktaba ya CHADEMA iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi 2010 - 2015:

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi''.
DR W Slaa Agosti 2010.

>>Hivi wenzangu mimi naona hiyo ni moja nyie mnaziona tatu kweli?

>>Au ndio tuseme hesabu ni mgogoro?

>>Hivi ni kweli kuna sababu moja tu ya umaskini Tanzania?

Mkuu. wangu, kama hujamuelewa Slaa basi pole sana. Nchi hii ina kila kitu ndugu yangu. Tatizo ni wizi uliokithiri. Kama tutapata kiongozi atakaepiga vita wizi kwa miezi sita tu, kisha tutashuhudia mabadiriko makubwa sana. Hakuna kitu kingine kikubwa kinachozorotesha uchumi wetu zaidi ya wizi au kama unavyojulikana kwa jina jipya, ufisadi. Mark my words.
 
Kwa hiyo hicho alichotaja DR wako ni tatizo moja au matatu?
 
Ni Ngumu sana Kuelewa Falsafa ya Dr. Slaa na kutokana na uwezo wako ulivyo mdogo kama wa Kuku It can take even your life understand the philosophy behind Dr. Slaa Claim

Matatizo ya Watanzania

1. Ufisadi 2. Ufisadi 3. Ufisadi
 
Back
Top Bottom