Dr. Slaa Ashindwa Kuifikia Rekodi ya Mrema

Jenifa

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
605
305
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28

Umepima na kiasi cha uchakachuaji katika vipindi husika?
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28

Dada Jenifa kwani hayo matokeo unayaamini? Ingekuwa ni figures halisi huu ujumbe wako ungekuwa na maana. Lakini kwa kuwa hizo figures ni za mezani mwa usalama wa taifa na NEC basi huu ujumbe wako hauna maana.
 
DK. Slaa ameonewa, RAIA sisi Watanzania TUMEONEWA, Chadema wameonewa, baadhi ya vyama vya upinzani ambavyo sio fake navyo vimeonewa, lakini We will be strong na Hatuta loss Hope..... TIME Will COME.... Aluta Continua mapambano zidi ya WASIOKUWA WAZALENDO na wachawi YATAENDELEA, WALAFI, Wabaya Yataendelea....MUNGU TUBARIKI na KUTULINDIA NCHI YETU.
 
Jenifa tuambie n lipumba alipata percentge gani 1995, lakini ukumbuke lyatonga alikurupuka february 1995 na watu machachari wote walikuwa nyuma yake, zaidi tuambie walifika 20 bungeni? Na kwa sura ya tanzania au ?

Comparison sahihi ni 2005 na 2010 na kingine ni ususiaji wa wananchi kupiga kura, je umeyatafakari hayo kwa wagombea wote.

Fanya home work yako vizuri usikurupuke
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
He was not rallying to beat Mrema's record nor he a number two position. If that was the case he never would have run for the presidency. Mediocrity
 
Uchakachuaji ndugu yangu. Bado unaamini kuwa Kikwete kashinda kihalali?
 
Tutafanya uchaguzi mwingine wa Rais mwaka 2012 pale Rais Mteule wa sasa (JK)atakapokuwa amekwishafariki kutokana na maradhi aliyonayo
 
Tukubali kura zimeibiwa na tumpongeze Slaa kwa ujasiri wake toka bungeni, kwenye kampeni na kuwezesha wabunge wengi wa upinzani kuingia bungeni. Aluta Continua. Haya mambo ya kufananisha na Mrema naona tuachane nayo hayana tija yoyote
 
Tutafanya uchaguzi mwingine wa Rais mwaka 2012 pale Rais Mteule wa sasa (JK)atakapokuwa amekwishafariki kutokana na maradhi aliyonayo

Mdau hoja za namna hii hazitusaidii chochote kwa sasa. Hata chochote kikitokea kwa Rais kuna utaratibu wa katiba wa nini kifanyike
 
Back
Top Bottom