Dr. Slaa ashauriwa kuahirisha ziara yake mkoani Kigoma kwa sasa

Huyo Babu ameenda huko kudhihirisha Unafiki wao coz hakukua na sababu yoyote ya Mcng ya kufanya Ziara hyo zaidi ya Unafik tu.., Eti ndo anautaka Urais huyo Mtu mzma hovyo anaeshndwa hata kumuogopa na kumheshmu Mungu wake..., Loooh!!!
 
eti anaenda kukijenga chama Kigoma? kwenye uchaguz mkuu CDM kigoma walipata 40 % na kilimanjaro walikozaliwa waasisi walipata 5% kwanini wasiende kuimarisha Kilimanjaro? huyo mzee kaja kutest zari ni Karl Peter
 
Huyo Babu ameenda huko kudhihirisha Unafiki wao coz hakukua na sababu yoyote ya Mcng ya kufanya Ziara hyo zaidi ya Unafik tu.., Eti ndo anautaka Urais huyo Mtu mzma hovyo anaeshndwa hata kumuogopa na kumheshmu Mungu wake..., Loooh!!!

Mimi naona kama kaja kuwakejeli tu watu wa Kigoma. Hivi kweli wamewafukuzia mtu wao halafu unaenda kufanya mkutano! Mantiki yake ni nini sasa kama sio kejeli. Wamekuwa wavivu wa kufikiri au wanawafanya wana Kigoma hamnazo fulani hivi. Haukuwa muda muafaka wa kwenda huko kwa wenye akili timamu
 
Hivi kweli wamewafukuzia mtu wao halafu unaenda kufanya mkutano!

Hivi Zito kafukuzwa uanachama au amevuliwa uongozi wa nyadhifa mbalimbali ndani ya chama? Ninavyofahamu mimi ni kwamba yeye bado ni mwanachama na pia amesema kuwa kamwe hatajitoa uanachama. Sasa huku kufukuzwa kulifanyika lini?
 
Huyo Babu ameenda huko kudhihirisha Unafiki wao coz hakukua na sababu yoyote ya Mcng ya kufanya Ziara hyo zaidi ya Unafik tu.., Eti ndo anautaka Urais huyo Mtu mzma hovyo anaeshndwa hata kumuogopa na kumheshmu Mungu wake..., Loooh!!!
Ikuume sana
 
Hivi Zito kafukuzwa uanachama au amevuliwa uongozi wa nyadhifa mbalimbali ndani ya chama? Ninavyofahamu mimi ni kwamba yeye bado ni mwanachama na pia amesema kuwa kamwe hatajitoa uanachama. Sasa huku kufukuzwa kulifanyika lini?

Hakuna aliyesema kafukuzwa uanachama, tumesema kafukuzwa uongozi ndani ya chama. Usipotoshe watu kwa ku quote vipande vipande. Quote sentensi nzima
 
hawezi kusikia kwani huyo babu ni sawa na mtu aliyekosa chakula muda mrefu ukamwambia acha umeshiba hataacha hadi kwa fimbo tu
 
Hakuna aliyesema kafukuzwa uanachama, tumesema kafukuzwa uongozi ndani ya chama. Usipotoshe watu kwa ku quote vipande vipande. Quote sentensi nzima

Zitto hata Uanachama wa CDM haumfai kwa sasa.Anafaa sana kuwa mwana CCM ili akagombee Uenyekiti.
 
wapo wachache wasiotaka kuamini kwamba uongozi ni kibali kutoka kwa mungu ila si umri ndio maana hawa wazee wanashindwa kwenda mwendo wa 0, 1, Mbona unashangaa namaanisha digital hadi kuona wawavue vyeo mbona wanalo mwaka huu acha aseme haogopi kitu bado dawa inachemka
 
Back
Top Bottom