Dr. Slaa asema CCM ni kama panya na "Panya hawakamatani!" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa asema CCM ni kama panya na "Panya hawakamatani!"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 1, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280


  Ilikuwa katika mkutano wa hadhara wiki iliyopita hapo Dar. Lakini wao watafanya nini na Panya, kwa vipi na kwa muda gani wakiingia madarakani? Isije kuwa na wao wataamua kukaa vikaoni na panya na kujadiliana ni jinsi gani ya kuwakamata bila kusababisha vurugu kwa watoto wapanya!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji, hawa jamaa ni ndugu wa damu kabisa. Hapo tofauti ni saizi, tu lakini kama ni kula nafaka wote lao ni moja tu, hawana tofauti hao. Kwa hiyo si rahisi hata kuwawajibisha panya wenzao hata kama wanawatambua kuwa wanatafuna nafaka.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yaani Tanzania yetu ingelikuwa na watu kama Slaa 10 tu hivi... haki ya nani tena tungelipiga hatua!! I really admire his stance on nationalistic affairs.
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ni wewe tu unaona hilo lakini mwanakijiji haoni lolote kama sikumuelewa vibaya.
  Najua atakuja na utetezi lakini hii tamthiria nimeisoma hivyo
   
Loading...