Elections 2010 Dr Slaa asante kwa kukubali kutuongoza ukiwa rais wa Tanzania na watanzania

Watanzania

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
727
42
Ninalia machozi ya furaha. Ninamfurahia Mungu wangu, nawafurahia watanzania, namfurahia rais wangu mpya Dr Slaa kwa kujitoa na kukubali kuwaongoza watanzania kama rais. Mheshimiwa rais Dr Slaa tunakuahidi watanzania, nitaitumikia nchi yangu kwa moyo wangu wote. Tulihitaji rais anayeipenda nchi na watu wake kutuongoza ili tufanye mapinduzi ya maendeleo katika nchi yetu. Mheshiwa Dr. Slaa ninaiona roho yako na moyo wako unavyoipenda nchi yetu. Umemwomba Mungu akujalie busara kuiongoza nchi yetu nasi watanzani tunazidi kumwomba Mungu akupatie afya njema ya mwili na roho utende kadiri ya kiu uliyonayo ya kuwahudumia watanzania kwa upendo. Kweli Mungu anaweza. Nakosa maneno ya kuongea kwa furaha kuu niliyonayo.

Tunajua unajukumu kubwa la kutuongoza na kuponya majeraha katika nchi yetu. Majereha yaliyosababishwa na uchu wa madaraka wa CCM uliojengwa katika tamaa za ufisadi hadi kutaka kujenga mifarakano inayohatarisha umoja wetu kama nchi. Dr. Slaa unapoanza jukumu jipya la rais wa nchi rudisha umoja wa watanzania uliojeruhiwa na CCM. Asante Mungu, asante Dr. Slaa.
 
Msg nzuri. Umeiandika kwa uchungu na uzalendo. Naamini Rais amekusikia.
 
Jamani huwezi kuamini. Habari za ukakika hadi sasa majimbo 12 tayari yameshaenda cha CHADEMA nayo ni:
1. Karatu 2. Iringa Mjini 3. Nyamagana 4. Maswa magharibi 5. Ubungo 6. Kahama 7. Shinyanga mjini 8. Musoma mjini 9. Barihadi mashariki 10. barihadi magharibi 11. Rombo 12. Kasulu.

Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
BRAVO exp10Tunajua unajukumu kubwa la kutuongoza na kuponya majeraha katika nchi yetu. Majereha yaliyosababishwa na uchu wa madaraka wa CCM uliojengwa katika tamaa za ufisadi hadi kutaka kujenga mifarakano inayohatarisha umoja wetu kama nchi. Dr. Slaa unapoanza jukumu jipya la rais wa nchi rudisha umoja wa watanzania uliojeruhiwa na CCM. Asante Mungu, asante Dr. Slaa.

Bravo Watanzania....
 
Jamani huwezi kuamini. Habari za ukakika hadi sasa majimbo 12 tayari yameshaenda cha CHADEMA nayo ni:
1. Karatu 2. Iringa Mjini 3. Nyamagana 4. Maswa magharibi 5. Ubungo 6. Kahama 7. Shinyanga mjini 8. Musoma mjini 9. Barihadi mashariki 10. barihadi magharibi 11. Rombo 12. Kasulu.13.Arusha Mjini

Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wajua hawa CCM ni wajanja sana kuchelewesha matokeoni kuhakikisha mchakachuo ukafanyike aibu sana itawakuta kukubali change na mkumbuke mtu kukubali changes huwa ni ngumu sana lakini hali ikifika then let it be

Kwa Mungu kila kitu kinawezekana. Hakuna aliyetarajia kuwa Dr. Slaa atagombea urais, alikataa kugombea lakini kupitia wito wa Watanzania akakubali kuwatumikia.
 
Nampelekea GUTA akabebee virago vyake atuachie ikulu yetu safiiiiiiii
 
Jamani huwezi kuamini. Habari za ukakika hadi sasa majimbo 12 tayari yameshaenda cha CHADEMA nayo ni:
1. Karatu 2. Iringa Mjini 3. Nyamagana 4. Maswa magharibi 5. Ubungo 6. Kahama 7. Shinyanga mjini 8. Musoma mjini 9. Barihadi mashariki 10. barihadi magharibi 11. Rombo 12. Kasulu.

Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee

chenge!
 
Ninalia machozi ya furaha. Ninamfurahia Mungu wangu, nawafurahia watanzania, namfurahia rais wangu mpya Dr Slaa kwa kujitoa na kukubali kuwaongoza watanzania kama rais. Mheshimiwa rais Dr Slaa tunakuahidi watanzania, nitaitumikia nchi yangu kwa moyo wangu wote. Tulihitaji rais anayeipenda nchi na watu wake kutuongoza ili tufanye mapinduzi ya maendeleo katika nchi yetu. Mheshiwa Dr. Slaa ninaiona roho yako na moyo wako unavyoipenda nchi yetu. Umemwomba Mungu akujalie busara kuiongoza nchi yetu nasi watanzani tunazidi kumwomba Mungu akupatie afya njema ya mwili na roho utende kadiri ya kiu uliyonayo ya kuwahudumia watanzania kwa upendo. Kweli Mungu anaweza. Nakosa maneno ya kuongea kwa furaha kuu niliyonayo.

Tunajua unajukumu kubwa la kutuongoza na kuponya majeraha katika nchi yetu. Majereha yaliyosababishwa na uchu wa madaraka wa CCM uliojengwa katika tamaa za ufisadi hadi kutaka kujenga mifarakano inayohatarisha umoja wetu kama nchi. Dr. Slaa unapoanza jukumu jipya la rais wa nchi rudisha umoja wa watanzania uliojeruhiwa na CCM. Asante Mungu, asante Dr. Slaa.

matokeo bado hayajatangazwa!
 
Jamani huwezi kuamini. Habari za ukakika hadi sasa majimbo 12 tayari yameshaenda cha CHADEMA nayo ni:
1. Karatu 2. Iringa Mjini 3. Nyamagana 4. Maswa magharibi 5. Ubungo 6. Kahama 7. Shinyanga mjini 8. Musoma mjini 9. Barihadi mashariki 10. barihadi magharibi 11. Rombo 12. Kasulu.

Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mbona Maswa Mashariki haipo kwenye orodha yako? Ebu ongeza bwana. Dr. Slaa Mungu akutangulie daima.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom