Dr Slaa asante kwa kukubali kutuongoza ukiwa rais wa Tanzania na watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa asante kwa kukubali kutuongoza ukiwa rais wa Tanzania na watanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Watanzania, Nov 1, 2010.

 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ninalia machozi ya furaha. Ninamfurahia Mungu wangu, nawafurahia watanzania, namfurahia rais wangu mpya Dr Slaa kwa kujitoa na kukubali kuwaongoza watanzania kama rais. Mheshimiwa rais Dr Slaa tunakuahidi watanzania, nitaitumikia nchi yangu kwa moyo wangu wote. Tulihitaji rais anayeipenda nchi na watu wake kutuongoza ili tufanye mapinduzi ya maendeleo katika nchi yetu. Mheshiwa Dr. Slaa ninaiona roho yako na moyo wako unavyoipenda nchi yetu. Umemwomba Mungu akujalie busara kuiongoza nchi yetu nasi watanzani tunazidi kumwomba Mungu akupatie afya njema ya mwili na roho utende kadiri ya kiu uliyonayo ya kuwahudumia watanzania kwa upendo. Kweli Mungu anaweza. Nakosa maneno ya kuongea kwa furaha kuu niliyonayo.

  Tunajua unajukumu kubwa la kutuongoza na kuponya majeraha katika nchi yetu. Majereha yaliyosababishwa na uchu wa madaraka wa CCM uliojengwa katika tamaa za ufisadi hadi kutaka kujenga mifarakano inayohatarisha umoja wetu kama nchi. Dr. Slaa unapoanza jukumu jipya la rais wa nchi rudisha umoja wa watanzania uliojeruhiwa na CCM. Asante Mungu, asante Dr. Slaa.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Msg nzuri. Umeiandika kwa uchungu na uzalendo. Naamini Rais amekusikia.
   
 3. M

  Mumbo Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aamen,hatimaye yametimia!
   
 4. c

  chanai JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani huwezi kuamini. Habari za ukakika hadi sasa majimbo 12 tayari yameshaenda cha CHADEMA nayo ni:
  1. Karatu 2. Iringa Mjini 3. Nyamagana 4. Maswa magharibi 5. Ubungo 6. Kahama 7. Shinyanga mjini 8. Musoma mjini 9. Barihadi mashariki 10. barihadi magharibi 11. Rombo 12. Kasulu.

  Tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 5. c

  chanai JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa kweli ni mkombozi. Mungu ni mwema
   
 6. W

  We can JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bravo Watanzania....
   
 7. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  13. Kawe, 14: Ulanga kwa Prof. Mlambiti,
   
 8. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  15. Mbeya Mjini, 16 Kilombero
   
 9. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wajua hawa CCM ni wajanja sana kuchelewesha matokeoni kuhakikisha mchakachuo ukafanyike aibu sana itawakuta kukubali change na mkumbuke mtu kukubali changes huwa ni ngumu sana lakini hali ikifika then let it be

   
 10. c

  castromoshi Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Amen
   
 11. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa Mungu kila kitu kinawezekana. Hakuna aliyetarajia kuwa Dr. Slaa atagombea urais, alikataa kugombea lakini kupitia wito wa Watanzania akakubali kuwatumikia.
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  To me Slaa is a messiah ie mpakwa mafuta
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Nampelekea GUTA akabebee virago vyake atuachie ikulu yetu safiiiiiiii
   
 14. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  chenge!
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  matokeo bado hayajatangazwa!
   
 16. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukuru, shukurani za pekee zinaenda kwa Mungu, watanzania wote na Dr. Slaa kwa kujitoa kuwatumikia watanzania.
   
 17. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante sana Dr Slaa...

  Mungu akubariki
   
 18. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa, lakini watanzania wanajua rais waliyemchagua na wanafahamu walivyopiga kura
   
 19. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo yanatimia Mungu yupo upande wa Watanzania na Dr Slaa
   
 20. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0


  Mbona Maswa Mashariki haipo kwenye orodha yako? Ebu ongeza bwana. Dr. Slaa Mungu akutangulie daima.
   
Loading...