Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Wajinga mpo wengi, tatizo lako unanufaika na serikali ya mafisadi na ndio maana upotayari hata kufa ukiitetea serikali hiyo. Na kwa upumbavu wako unadhani watu wote tupo pamoja na nyie wehu.tatizo lako ukiulizwa maswali magumu hujifanya upo bize na mambo mengine ambayo hudai ni muhimu zaidi ya kile ulichoulizwa.kuingia tu hapa jf kila siku na kupost ***** sio kupoteza muda? Wadanganye hao hao jibu maswali acha kuzuga zuga.Tumeshakustukia huna jipya