Elections 2010 Dr slaa anataka hiki............

Mubezi

Member
Sep 27, 2010
71
23
Mimi naishi buguruni,nimepiga kura pale malapa,na kuna jamaa mmoja alikamatwa akiingiza fom ya kupiga kura zikiwa mbili, so pale msimamizi alimuona akiangaika kuingiza fom mbili kwa mpigo akishindwa,zilipoangaliwa zilikutwa zote zimetikiwa kikwete,pia na uko tabora alikamatwa mtu akiwa na fom 6 zikiwa zimeshatikiwa kikwete akisubili kuingia kupiga kura,je la kujiuliza wamefanya watu wangapi hayo mambo?

Pili je tume imelichukuliaje ilo,je kweli huo ulikuwa uchaguzi wa haki,Dr slaa anataka kama kuna kasoro kama hizi zitolewe ufafanuzi,na matokeo yafutwe kwani wapo wengi wamafanya mambo haya, je wadau mnasemaje?

Maana inasemekana waliofanya mambo hayo ni wale vijana wa green guard, na walikuwepo kama laki 3,so kama kila mmoja kapiga kura ya uraisi mara mbili,jiulize watokeo yatakuwa ya kweli hayo?
 
Ushahidi upo, nakuunga mkono mtoa mada. Vyombo vya habari vili ripoti hizi janja za hawa wanaong'ang'ania madaraka. kwa hili halina ubishi, na evdence zipo za kutosha, watu wamekamatwa. Kwa mtu yeyote asie na mtindio wa ubongo haihitaji kuwa degree holder kutambua huu mchezo.
 
tatizo letu watanzania hatuna utanzania ndani yetu bali tuna UCCM na UCHADEMA, kwanini tusikae na kuona kwamba tanzania ikiendelea ni yetu sote na sio ya CCM wala CHADEMA? humu JF ukiangalia ni UCCM na UCHADEMA asilimia kubwa, swala lililoko mbele yetu ni kuweka mambo sawa na kusahau tofauti zetu kwa kujali haki. na kama haki haikutendeka na CCM au CHADEMA basi sheria ufuate mkondo wake.
 
Kama ushahidi upo kusanyeni mwende mahakamani. Tundu Lissu na Marando si wapo au wameisha watosa tena .
 
hiyo isue ni kweli hata mimi niliipata mapema maeneo ya tabata,anaepinga si mpenda haki.ukweli ndo huu.
 
Pamoja na watu kupiga kura mara mbili na zaidi bado Dr. Slaa kashinda...NEC wanachotakiwa kufanya ni kupitia malalamiko ya Dr. Slaa na kusawazisha kura na aliyeshinda kulingana na fomu za vituoni zilizosainiwa na mawakala wote wa vyama vya siasa shiriki ndiyo yaheshimiwe................vinginevyo Jk na CCM yake kamwe hatakubalika na atatawala kijeshi tu lakini siyo kwa ridhaa yetu na gharama yake kwa uchumi wetu itakuwa haibebeki kabisa...............
 
Mimi naishi buguruni,nimepiga kura pale malapa,na kuna jamaa mmoja alikamatwa akiingiza fom ya kupiga kura zikiwa mbili, so pale msimamizi alimuona akiangaika kuingiza fom mbili kwa mpigo akishindwa,zilipoangaliwa zilikutwa zote zimetikiwa kikwete,pia na uko tabora alikamatwa mtu akiwa na fom 6 zikiwa zimeshatikiwa kikwete akisubili kuingia kupiga kura,je la kujiuliza wamefanya watu wangapi hayo mambo?

Pili je tume imelichukuliaje ilo,je kweli huo ulikuwa uchaguzi wa haki,Dr slaa anataka kama kuna kasoro kama hizi zitolewe ufafanuzi,na matokeo yafutwe kwani wapo wengi wamafanya mambo haya, je wadau mnasemaje?

Maana inasemekana waliofanya mambo hayo ni wale vijana wa green guard, na walikuwepo kama laki 3,so kama kila mmoja kapiga kura ya uraisi mara mbili,jiulize watokeo yatakuwa ya kweli hayo?

Sishangai tena kusikia Rais wetu anishi kwa nguvu za ulinzi wa majini ya sheikh Yahya. Mambo liyofanyika katika chaguzi zetu yanaisababishia laana Tanzania.
 
mimi nashangaa sana kazi yao kulalamika tu, Chadema mnataka kuleta fujo.
Ole wenu majaribu, mtakiona cha.................
 
tatizo letu watanzania hatuna utanzania ndani yetu bali tuna UCCM na UCHADEMA, kwanini tusikae na kuona kwamba tanzania ikiendelea ni yetu sote na sio ya CCM wala CHADEMA? humu JF ukiangalia ni UCCM na UCHADEMA asilimia kubwa, swala lililoko mbele yetu ni kuweka mambo sawa na kusahau tofauti zetu kwa kujali haki. na kama haki haikutendeka na CCM au CHADEMA basi sheria ufuate mkondo wake.

sheria zinatakiwa kufuatwa na vyama pinzani ccm hawawezi kufuata sheria, cha maana ni nguvu ya umma.
tumeoa pccb inachofanya,usalama wa taifa,nec n.k
 
Mahanga na mabox ya kura mpaka police leo ni mshindi.
kura zake zimekuja hesabiwa Anatoglo badala ya segerea bado haitoshi,jamaa mwingine huko huko tabata kakamatwa na vitambulisho vyakupigia kura ambavyo siyo vyake,baadae anaonekana lumumba walipokuja hesabia kura za mahanga. anulizwa kulikoni upo hapa tena? ooh polisi wamesema nirudishe hivyo vitambulisho kesi kwishney!!
 
wakuu nashinda kufanya 'attachment' nina ushahidi wa jinsi CCM walivyopanga mipango ya kuchakachua kura huko lakairo hotel mwanzoni.mtu anielekeze jinsi yaku attach,tayari nimesave kwenye my documents
 
Hivi, kama tawala dhalimu hazitaki kuondoka kwa sanduku la kura, kuna njia gani nyingine twaweza kuziondoa tawala hizo?:yield:
 
mwenzenu mie haya mambo yananimaliza nguvu kabisa,najiona kama kondoo anayepelekwa machinjioni bila hiyari yake.niko njiani kuikimbia nchi hawa wezi WAKIJISHINDISHA,nitarudi tukifanikiwa kuwang'oa.
 
Mimi naishi buguruni,nimepiga kura pale malapa,na kuna jamaa mmoja alikamatwa akiingiza fom ya kupiga kura zikiwa mbili, so pale msimamizi alimuona akiangaika kuingiza fom mbili kwa mpigo akishindwa,zilipoangaliwa zilikutwa zote zimetikiwa kikwete,pia na uko tabora alikamatwa mtu akiwa na fom 6 zikiwa zimeshatikiwa kikwete akisubili kuingia kupiga kura,je la kujiuliza wamefanya watu wangapi hayo mambo?

Pili je tume imelichukuliaje ilo,je kweli huo ulikuwa uchaguzi wa haki,Dr slaa anataka kama kuna kasoro kama hizi zitolewe ufafanuzi,na matokeo yafutwe kwani wapo wengi wamafanya mambo haya, je wadau mnasemaje?

Maana inasemekana waliofanya mambo hayo ni wale vijana wa green guard, na walikuwepo kama laki 3,so kama kila mmoja kapiga kura ya uraisi mara mbili,jiulize watokeo yatakuwa ya kweli hayo?

Ni aibu sana kwa rais na taifa letu, na lina madhara makubwa kuliko ambavyo tunafikiria. Mambo hayo yatatugharimu ingawa sasa tuliona ni jambo la kaiwaida.
 
tatizo letu watanzania hatuna utanzania ndani yetu bali tuna UCCM na UCHADEMA, kwanini tusikae na kuona kwamba tanzania ikiendelea ni yetu sote na sio ya CCM wala CHADEMA? humu JF ukiangalia ni UCCM na UCHADEMA asilimia kubwa, swala lililoko mbele yetu ni kuweka mambo sawa na kusahau tofauti zetu kwa kujali haki. na kama haki haikutendeka na CCM au CHADEMA basi sheria ufuate mkondo wake.

HIzo sababu ndizo zimetufanya kuwa masikini hadi leo. Tukubali muibe tu. hizo ndo sera zenu hata huyo JK wenu eti wezi wa Epa aliwaambia warudishe pesa na hajawafanya lolote. sasa hii ni akili au matope!!!
 
Back
Top Bottom