Dr. Slaa anasa nyaraka za siri za CCM za kuingiza silaha nchini

Zomba kwa umri wako na heshima yako sitegemei ungesema uwongo mkubwa mchana kweupe namna hii.Thibitisha uwongo wake kwanza kwa rekodi zako. Nimekusoma kwenye thread nyingine ukisema uwongo wa mchana kweupe kuhusu Dr slaa huko Karatu ambako nadhani hata hujafika. Huyu mzee mbona anawasumbua sana?

Nnakiri kukwambia kuwa Kiswahili ni lugha yako ya Taifa lakini nna uhakika tena 100% kuwa si lugha mama kwako kwa namna hiyo nnadiriki kusema wala si lugha baba kwako.
 
Ebu niambie Chadema mlitumia vigezo gani kuyakataa matokea ya urais halafu mkayakubali matokeo ya ubunge na udiwani.

Japo kuwa wewe Ritz umesomea sheria ngoja nikufafanulie.
Matokeo ya Ubunge na udiwani kama hujaridhika unaenda mahakamani hata kama mahakimu/majaji wenyewe ndio hao wa Tundu Lissu.
Matokeo ya Urais hayana mahakama, mtindo wake ndio huo tuliotumia sisi Chadema. Hope umenielewa.

http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/3090-ccm-dk-slaa-anazeeka-vibaya
 
Sidhani kama hayo maneno yatakuwa yanawasaidia ccm,kwa hali ilivyo sasa hivi kila kona ya nchi hii wananchi wanateseka kwa kiasi kikubwa sana,sasa mtu kama nape anakuja na propaganda dhaifu kama hizi,inaonesha ni jinsi gani M4C inavyo haribu ubongo wa hawa watu!!!
 
Nape asubilie tu adhabu yake na hilo shavu lake. Kijana mdogo unanenepeana ovyoovyo utapata wapi mda wa kufikiria mambo ya maana kuhusu inchi yako. Kazi yake siku hizi nikufikiria kesho aseme nini kuhusu Chama cha Mungu. Usishindane na ukweli Mr. Nape na kaa ukijua baiskeri huwa haziogonzwi na traffic
 
Jamani tumhurumia Nape. Ni sauti ya mtu mmoja "aliaye nyikani". Wenzake wote (Mukama, Msekwa, Chiligati, Mkuu wa kaya, etc) "WAMESEPA" na kumuacha akihangaika mwenyewe. Ndani ya MAGAMBA yeye ndiye "LULU" iliyobaki kwa sasa.
 
Nape asubilie tu adhabu yake na hilo shavu lake. Kijana mdogo unanenepeana ovyoovyo utapata wapi mda wa kufikiria mambo ya maana kuhusu inchi yako. Kazi yake siku hizi nikufikiria kesho aseme nini kuhusu Chama cha Mungu. Usishindane na ukweli Mr. Nape na kaa ukijua baiskeri huwa haziogonzwi na traffic

Kimweli,
UNAMAANISHA MTEI NDO MUNGU KWENU?!!! au
 
CDM nawakubali lakin napata sana doubt mnapomuhusisha husisha sana Mungu katika hoja zenu,na sio mara moja nimesikia hcho kitu
 
Nape asubilie tu adhabu yake na hilo shavu lake. Kijana mdogo unanenepeana ovyoovyo utapata wapi mda wa kufikiria mambo ya maana kuhusu inchi yako. Kazi yake siku hizi nikufikiria kesho aseme nini kuhusu Chama cha Mungu. Usishindane na ukweli Mr. Nape na kaa ukijua baiskeri huwa haziogonzwi na traffic
mkuu umenichekesha kweli eti baisikeli haziongozwi na trafiki,ccm mwaka huu watajibeba
 
Hata kama ni propaganda Nape anatakiwa awe more careful mbele ya jamii. Tabia/kauli za wanasiasa vijana zinazua maswali mengi juu ya maadili ndani ya CCM. Ni jambo la kujutiwa kwamba ndani ya CCM hakuna mtu mzima anayeweza kuwafunda vijana wake!
 
Hawa CCM sasa mpaka wanakera, ni bora wakae kimya tu kama mwenyekiti wao. Yaani maisha magumu halafu wantuletea ujanja wa nyani kula hindi bichi
 
Nape anaongea kwa nguvu kwa sababu yeye hajchafuka ndani ya chama chake sasa mnataka nani aongee!Nadhani atakuwa mwendawazimu siku akianza kumsifu Dr. Slaa
 
CDM nawakubali lakin napata sana doubt mnapomuhusisha husisha sana Mungu katika hoja zenu,na sio mara moja nimesikia hcho kitu
walisema kikwete ni chaguo la Mungu hukununa,Ni hivi Mungu alimtuma kikwete ili aiue ccm chadema chama la wazalendo na kipenzi cha watu kipate kutawala hapo 2015,hutaki unaacha na usitake kushindana na Mungu
!
 
CDM nawakubali lakin napata sana doubt mnapomuhusisha husisha sana Mungu katika hoja zenu,na sio mara moja nimesikia hcho kitu
mkuu unatakata tumuhusishe shekhe Yahaya? kama ambapo dhaifu anaongoza nchi kwa imani za majin?
 
Nape alimaanisha Wilson Mukama, bosi wake, naye kazeeka vibaya kwa kauli zake nyingi ikiwemo ile iliyoleta madhara kwa ubunge wa Dr Kafumu. Katumia tu jina la Dr Slaa kufikisha ujumbe kwa mzee wake huyu ambaye ameanza siasa uzeeni sana.
 
Nape anachanganyikiwa,espacially anvyomuona dr slaa anajenga chama kubwa wakati umri wake ni mkubwa,lakini yeye anaizika nyinyiemu kwa mikono yake.
Nape uta shaaaa,slaa ndo ivyo tena wala hatumii nguvu mtasema sana tu.
Wewe ndo uachie ngazi ukauze unga.
Nahuyo eti mwenyekit wa wazee anaongelea ndoa ya slaa,kwani inahusiana nini na chama kubwa.na bado saizi nape unaongea na muwani badae utaivua mwenyewe.
 
6113984.jpg

Nepi ana wivu + hasira, kwani Dr.Slaa alimkatalia kuhamia CHADEMA 2010 kwa shart la kupewa kugombea jimbo la ubungo. mara baada tu ya kutoka kwenye mkutano wa chadema DHAIFU atamteua kuwa DC... shame on you Nepi
 
Back
Top Bottom