Dr. Slaa anasa nyaraka za siri za CCM za kuingiza silaha nchini

Mkuu umenichanganya hapa,
kati ya mtu anayesema kuna xx ameingiza silaha kijambazi na huyo jambazi ambaye tuliwahi kumjua kuwa ni mtu mwenye heshima huko nyuma, ni nani wa kupima epilepsy?

Dr Willbroad Slaa, na dalili kuwa si mzima ni juu ya kauli zake na matendo yake kama kupoteza kumbukumbu na kutelekeza familia,kuropoka maneno ya hovyo hovyo,kuhisi anataka kuuliwa. Si vibaya mkifuata ushauri kwani kucheck afya ni jambo la kawaida.
 
Naona machine ya Lister Peter (Tanzania daima) inaendelea kumwaga pumba, hivi ni kweli Dr Slaa anaweza kutamka uupzi wa aina hii au wakati anazungumza sukari ilikuwa imepanda?

Unamaanisha sukari kupanda bei au hyperglycaemia?.
 
Mkuu Aweda unajua kwanini idara ya ulinzi ya CDM haijachukua hatua yeyote? ebu tafakari na fuatilia maneno ya mtu mzima siku hizi.

Heshima yako mkuu,
Idara ya ulinzi imechukua hatua ya kuripoti tukio polisi na kuongeza ulinzi ktk misafara yao. Huo ndio mwisho wa uwezo na mipaka yao mkuu, kwa sasa. Au sijakuelewa mkuu?
 
jamani hebu tuache haya mambo hivi watu mnaomba vita eeh! haya wengi watakufa kwa stail manake kila siku njama za kuuwawa anjama za kudhoofishwa wewe ni nani hadi uuwawe? na kwanini tutumie hadi visu na bastola za kauagiza zilizopo nchini hazitosh kuwachinja na kuwaua ? tindikali zilizopo kwenye ma duka ya vifaa vya maabara hazitosh hadi tuagize?

Unaifaham ccm au unaisikia?
 
Dr Willbroad Slaa, na dalili kuwa si mzima ni juu ya kauli zake na matendo yake kama kupoteza kumbukumbu na kutelekeza familia,kuropoka maneno ya hovyo hovyo,kuhisi anataka kuuliwa. Si vibaya mkifuata ushauri kwani kucheck afya ni jambo la kawaida.

Mkuu tuko pamoja,
Kucheck afya ni jambo jema. Ila mimi niliuliza tunaanza kucheck afya ya nani kati ya watu wawili ambao ni A na B? Je, tunaanza na anayetuhumu A au mtuhumiwa B? Napendekeza tuanze na kupima afya ya B - mtuhumiwa.

Unaifaham ccm au unaisikia?

naifaham manake ilizaliwa mwaka na siku niliyozaliwa.

tuache fikira za kuhisi ama za kuamsha mabaya miongoi mwa raia hivi wafikiri vurugu zikiinuka hapa wahanga ni akina nani? hao Slaa na wenzie watakwea mapipa ila wanyone ndo watakao kuwa wahanga. tuombe amani ya nchi wala si vita huytak kuamn muulize mhanga wa vita huko rwanda na Burundi
 
Hali inatisha kusema kweli. Kumbukeni kauli ya Nape, "Hatutakabidhi madaraka kwa wahuni wa CHADEMA." Kauli hii kamwe haiwezi kutolewa bila ya kuwa na mikakati ni jinsi gani wataweza kuendelea kung'ang'ania madaraka hata kama watashindwa uchaguzi.

Inaelekea hawatakuwa tayari pia kuheshimu katiba mpya ambayo inategemewa kutumika katika uchaguzi 2015.
 
CDM ndio wamewashauri ccm wawa agizie vijana wa ccm silaha Tehe Tehe tehe hii M4C italeta madhara makubwa kabla ya 2015...
 
yule mzee wa vimwana ana uchu sana na urais,yaani hadi leo haamini kuwa alishindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita kwa hiyo kila siku anaibuka na uzushi mpya.wajinga ndio wadanganyikao

Na Siku ukimuona anatoka na taulo kiunoni chumbani kwa mama yako ndio utamuheshimu na kumuita baba Sijui au bado utamuita mzee wa vimwana
 
naifaham manake ilizaliwa mwaka na siku niliyozaliwa.

tuache fikira za kuhisi ama za kuamsha mabaya miongoi mwa raia hivi wafikiri vurugu zikiinuka hapa wahanga ni akina nani? hao Slaa na wenzie watakwea mapipa ila wanyone ndo watakao kuwa wahanga. tuombe amani ya nchi wala si vita huytak kuamn muulize mhanga wa vita huko rwanda na Burundi

Ni kweli mkuu,
vita ni mbaya, Ila swali ni kwamba mtu anayehatarisha amani ni yule anayesema kuna silaha zimeingizwa kinyemela au ni yule anayeingiza hizo silaha kinyemela?
Pili, kama ni uzushi serikali ndo yenye jukumu la kuchunguza na kujua ukweli. Lakini je, serikali yetu ni credible kiasi hicho?
Mangapi yamesemwa ikaweka kwapani? Dr Mwakyembe alisema kuna watu wananiwinda kimya, Dr slaa kawekewa kinasa sauti kimya mpaka kesho!

Nape Nnauye:Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa Ameanza Kuzeeka Vibaya,na sasa kazi ya siasa inamshinda hivyo awaachie vijana

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nauye amemshukia Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa, kufuatia kauli aliyoitoa mkoani Morogoro kwamba Chama Cha Mapinduzi kimekuwa kikiingiza silaha nchini.

"Kauli hii inaonyesha ni vipi Dk. Slaa ameanza kuzeeka vibaya, na sasa kazi ya siasa inamshinda hivyo awaachie vijana" alisema Nape na kuongeza kwamba anatambua kuwa uzee siyo laana kama unamwingia mtu vizuri.

Akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, Nape amesema, mbali na kuzeeka vibaya, hatua ya Dk. Slaa kuizushia CCM kwamba imekuwa ikiingiza siala kinyemela ni dalili kwamba ameona kuwa sasa operesheni ya mikutano ya Chadema hasa ya Morogoro zinazorota.

Kwa mujibu wa Nape, Dk. Slaa amesikika akitangaza mjini Morogoro kwamba, CCM imekuwa ikiingiza siala nchini na kuwapa vijana wazitumie wawapo kwenye makambi ya Umoja wa Vijana wa CCM.

"Kwanza huyu Mzee inaonyesha ni jinsi gani ufuatiliaji wake wa mambo ni vinyu, kutoa madai kwamba tumeagiza siala kinyemela kwa ajili ya makambi ya vijana wetu, wakati inafahamika kwamba wakati huu CCM imo katika uchaguzi mkuu hatuwezi kabisa kuandaa wala kufanya makambi ya vijana", alisema Nape.

"Kutokana na kauli hizi za uzushi, tunazitaka mamlaka zinazosimamia ulinzi na usalama kumtaka Dk. Slaa awapatie ushahidi wa kina kuhusu mtu au tasisi yoyote ambayo inaingiza silaha nchini kinyemela, na kama ushahidi wake utawezesha kupatikana yeyote basi ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria", alisema.

"Huyu Mzee imekuwa kawaida yake kuandaa uongo kila anapoona kwamba anakabia kushindwa katika operesheni au mipango yake au ya Chama chake kisiasa. Wakati ule wa Uchaguzi mkuu, alipoona kwamba atashindwa, alizusha kwamba CCM imeingiza kura nchini kutoka nje ya Nchi, lakini ikabainika kuwa ni uzushi", alisema.

Alisema, hatua ya Dk. Slaa kuzusha uongo ni njama ya kuandaa fujo zitakazofanywa watu walioandaliwa na Chadema, kufanya fujo mitaani wakati wa mikutano wa chama hicho mkoani Morogoro. " sasa anatoa uongo huu, ili watu wao waliokusanya watakapofanya fujo azushe kwamba ni vijana waliotumwa na CCM".

SOURCE: H@ki Ngowi:
 
Eti ushahidi wa silaha nyaraka?

Huyu mzee anajuwa kuwadanganya Watanzania, na kuna misukule inakubali tu.
 
Nape kichwa chako c kina uwezo wa kb 1
 
Wasomjua dr slaa wanitafute,sisi huwa tunamwita slahama ,maaana yake ni aina ya wazimu ktk lugha ya kwao .kwasababu ya kuzusha mambo na kuchonganisha jamii.na kumbuka kisa kimmoja aliwahi kuzusha karatu kuhusu maji,watu wakataka kuuana mungu kaweka mkono wake.hatufui mtu huyu hata kidogo.ebu fikiri wasomi wote wana kazi zakufanya ,kina profesa lipumba,prof mwandosya,mabere marando nk ni wasomi na wanatumikia taaruma zao siasa kwao kama ziada,huyu bwana udoctor wake umesaidia nini watanzania ?.yeye kila kukicha uongo ,visa,mikasa mtafutieni kazi .

Natazama like kwenye mobile hawajaweka'huyu mzee kweli kaishiwa
 
ZZK kweli ni jembe aliwahu kuwaambia viongozi wenzake wa CHADEMA wabakize akiba ya maneno sasa leo inaonekana KIBABU KIBACHELA kimeishiwa hakina jipya hii single ya leo inabidi akaifanyie remix

Kura ya maoni jf leo ZZK 15.68% na WP.SLAA 84.32%, labda mumuue tu lkn Dr kawabana sana mbavu safari hii
 
Hey madogo,
Don't believe everything and don't ignore everything. Also don't argue without a research, he is a Tanzanian has a right to say anything and to doubt any thing so don't ignore for what he says.

Mwanasemtambike,
 
Back
Top Bottom