Dr. Slaa anafiti kuwa prime minister sio president wa JMT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa anafiti kuwa prime minister sio president wa JMT

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by chamajani, Oct 26, 2010.

 1. c

  chamajani JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimefuatilia kwa umakini mkubwa(zaidi ya ule wa Chadema na Dr. Slaa) hususan katika Mdahalo wa ITV na Mkutano wa Kampeni wa Mwembe Yanga-Temeke na kugundua kuwa Dr. Slaa ana mchango mkubwa tu kwa Watanzania lakini akiwa kama Waziri Mkuu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba Dr. Slaa yuko zaidi ki-operationalization kuliko ubunifu wa ki-Urais. Pia sajaona Macroecomic policy srategies ambazo zinahitajika kulitoa Taifa hili hapa zilipo kwenda hatua nyingine zaidi kuona tuhuma tuuuu-mara shimbo, mara kikwete, mara nani-Ya nini kutajataja majina pasipo na dhima. Hivi zile sera zake zimeenda wapi hata ageukie ishu za dini, shimbo, mishahara ya polisi laki mbili,duty free shop za majeshi zinatumika kuwaumiza wanajeshi wadogo-hivi ni vitu vya uchochezi ambavyo Kwa level yake hapaswi kuvitolea statements za namna hii. Achana navyo mzee, nenda kwenye point za kuwakomboa wa-Tz. Duh! Ni tumaini lililopotea hili jamani iliyobaki tukae chini tutafute lingine. Hivi ni nani anayeondosha kila tumaini la Watanzania kirahisi hivi? 1. Mrema=kapotea, 2. Lamwai=kapotea, 3. Lipumba=kapotea, 4. Slaa=huyoooooo anapotea tartiibu.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kikwete waziri Wa wasanii
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  we hujitambui kweli eeeh hivi una ule ugonjwa wa kudondoka kama jeykey?
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Mara ya mwisho ulipimwa akili lini na hospitali ipi,
   
 5. c

  chamajani JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa kusema hovyo kama wafuasi wa chadema
   
 6. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Kikwete anafaa kua MC
   
 7. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  kwani wanajeshi wadogo si wa TZ? na hawatakiwi kukombolewa? 31/10/2010 kitaeleweka tuuu.
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wewe jamaa una matatizo ya kichwa. Unamsikiliza Dr Slaa halafu hukusikia vision. Hujasikia vision ya afya bora kwa strategic thinking ya kuboresha nyumba. Hukusikia alivyosema vision ya nchi kujitegemea kwa kuboresha elimu kuanzia chekechea. Hujasikia vision yake ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kidemokrasia kwa kubadili katiba. Hujasikia akisema anataka uchumi uliokomaa na wa kujitegemea kwa kuanzia kujitegemea na recurrent expentiture.

  JK anasema vision gani? Kilimo cha nyanya, kupandisha timu ya mpira ya Lindi kuwa daraja la kwanza, kununua vyandarua. Vitu very low. Ndiyo maana wenzio wanakuuliza kama kichwa chako kiko sawasawa.
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Chamajani, nashukuru kwa kumkubali dr.SLAA kama kiongozi mkuu wa serikali i.e waziri mkuu. Si vbaya kuwaza ivo,inaonesha unavomkubali. Ila sisi tunatamani kumwona akiwa zaidi yawaziri mkuu,awe mkuu wa nchi. Ikumbukwe kuwa uliowataja apo juu hawajapotea,mh.MREMA yupo vunjo akifanya kazi ya serikali kudhoofisha upinzani,anapunguza kura za nd.John Mrema wa Chadema Vunjo. Nani asiyemjua shushushu uyu wa serikali? Ni sawa na akina Zawadi wa hapa Jamvini! Unasema ujasikia macroeconomic strategies_amekwambia nani tunamchagua rais slaa kuwa waziri wa uchumi? Au umetoka tuisheni ya sh.200 pale mchikchini ndo umekaa unakariri macroecomics ya pepa 2 fomu6 ndo ukataka kuonesha ujuzi,poor vision. Unasema asiwatetee wanajeshi kuwa ilo ni jambo dogo,ivi watz kwa mantiki yako ni akina nani? Au jeshi si wananchi,kama kuna wawekezaji tuambie bana!amuchelewi kubinafsisha! Mmeanza migodi,viwanda,reli,TBC1 sasa mnataka kubinafsisha jeshi kuwa si sehemu ya nchi? Wee huwezi ukawa ujalewa! Unamtaja mrema? Take care of such secret service,you may live behind bars!
   
 10. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Sio kuwa hakusikia hajui maana ya anachoandika maskini. Nadhani ni watu wa kukariri darasani, mtu kama huyu kwa article yake tu unawezakujua kuwa awezi kufanya kazi. Ametumia neno macroeconomic policies wakati haelewi maana yake. Naomba ajifunze kwanza ndio arejee hapa jukwaani kujadili issues.
   
 11. c

  chamajani JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccbrt
   
 12. c

  chamajani JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama unampigia debe awe waziri wa Uchumi ndio kabisaaa hauwezi . Narudia tena kusema Dr. Slaa unamfaa zaidi Uwaziri Mkuu ili asimamie ujenzi wa Vituo vya afya kila kata, ujenzi wa zahanati kila kijiji, ujenzi wa maabara katika kila shule ya kata, ujenzi wa viwanja vya ndege vilivyoahidiwa na Dr. JMK, ujenzi wa flying-overs za huko katika Ki-jiji chenu cha Dar, na operation nyinginezo ambazo Dr. JMK amesha-anisha katika mpango wake mpana wa kuijenga hiyo Tanzania. Pliiiiiz DR. Kikwete usimuache huyu mzee katika post ya u-PM, Pinda mpigie debe japo pale visiwani ili awe Waziri Kiongozi Kivuli then ajue kama Zanzibar ni nchi au si Nchi.
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ccbrt kwa dr.slaa naona unaunga mkono.
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!this is another lunatic person!!unataka azungumzie nini zaidi ya matatizo halisi ya watanzania?????
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Unanishangaza hayo yote uliyoyataja mbona yakitekelezwa tutakuwa na nakisi kubwa kwenye bajeti yetu na hivyo kuwa na fedha za elimu bure, afya bure , maji kila mahali n.k.................................Mwenzetu mbona wajichanganya hivyo? Yaani afae kuwa PM lakini asifae kuwa president,............you must be joking, aren't you?
   
 16. w

  wela masonga Member

  #16
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kama Dr. Slaa anafaa kuwa PM, anayefaa kuwa Rais ni nani sasa? au unamanisha ni yule:

  1. Asiyejua kwa nini Tanzania ni masikini?

  2. Anayecheka cheka jukwaani wakati nchi ipo pabaya kiuchumi?

  3. Anayejiandaa kuwa rais miaka kumi kabla, na kutumia miaka mitano ya urais akijifunza urais?

  4. Anayeweka historia ya kutumia mke na watoto ktk kampeni zake?

  5. Aliyejaza maswahiba wake ktk nafasi nyeti kisha wanashindwa ku deliver?

  6. Asiyeona aibu kujiita Doctor wakati hajasome kusomea?
   
 17. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Chamjani kama ukifikia hatua hiyo unamwelekeo mzuri zaidi wa kumkubali DR.Slaa, endelea mpaka siku ya kura halafu mwezeshe kwenye ulichoona ona wewe kuwa anafaa, hiyo kura yako umpe DR. Slaa.
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wale wale cheap politics, hivi nitamchaguaje Rais asiyejua kwanini nchi yake ni maskini ITS A SHAME, I PITY ON HIM
   
 19. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Waziri mkuu anaagizwa na Rais na kusimamia serikali katika shughuli za kila siku. Waziri mkuu makini hawezi kuwa chini ya Rais bogus. Cha msingi ni kumweka mtu makini kuwa Rais wa nchi.
   
 20. C

  Crooked I Member

  #20
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dont be shortsighted!its a high time now Tanzanians to dare for changes...!!!we will be in position to judge Dr. Slaa after he has ruled like how we judge this "empty head one"(JK).........LETS DARE FOR CHANGES.
   
Loading...