Dr slaa ana uwezo mkubwa wa kufanya maamzi magumu pale katiba na sheria zinapokiukwa.

NCHAGWA JOSEPH

JF-Expert Member
Sep 15, 2014
802
226
Watanzania tunahitaji rais wa kuweza kufanya maamzi magumu kama dr slaa bila kujali kufa au kuporomoka kwa chama.
 
Hatutaki rais mzinzi..anayefanya maamuzi ya kukurupuka...anayeshaurika na asiyembinafsi na mbaguzi
 
Ameshindwa kumfanyia maamuzi magumu mchumba ake Josefin anaempelekesha na kumvunjia heshima yake nchi ndio ataiweza?
 
Shida ya makada wa ccm na midomo ya uzinifu.kumbe mmesahau kuwa ccm imesheheni wazinifu.vutakumbukumbu vizuri.
 
Eti hatutaki rais mzinzi! Tuambie kama dr slaa alisha zini na mamako au dada yako! Usilie kuzidi wafiwa.
 
Eti hatutaki rais mzinzi! Tuambie kama dr slaa alisha zini na mamako au dada yako! Usilie kuzidi wafiwa.
Hao jamaa Mods watuachie tuwape kubwa hao ni watoto wa Dr wa nje mama zao walikuwa mchepuko wa Dr ndio mahana wanahasila na Dr kwa kuwaacha mama zao


swissme
 
Back
Top Bottom