Dr. Slaa ameamua kurudi kufanya kazi hii...

Naambiwa kuwa huyu jamaa ni Mwandishi wa habari wa UHURU...............

90cart01102006oo6.jpg
 
Well ni utani but inaweza kuwa na negative implication. Ni photo shop cheki mikono hiyo ni ya mzungu!
 
Jamani hizi chokochoko za personality si kitu kizuri. Hapa ni kwa Great thinkers, hapatakiwi kuwa derailed na feeble minds ambazo zinajikita kuzodowa personalities ambazo zingine ni role modal at international scale. Halafu hawa watu ni wale wale kila siku.

Watendaji wa JF please give credibility to the forums do something to term these demented charaters. Failure to do that, allow us to make direct attacks to their personalities also. Kama haitasababisha hapa pawe uwanja wa fisi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom