dr slaa alikuwa sahihi

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
nimesoma gazeti la daily nation la leo wakenya wanalalamika kuwa watz wanaenda kenya wanasoma kwenye shule za serikali bure. shule nyingi hasa za mipakani zimefurika. wanalaumu kuwa inakuwaje serikali yao inaogopa kutoa elimu ya bure halafu wao wagharamie? dr slaa alisema inawezekana ccm wakasema haiwezekani halafu kwa aibu tunakimbilia kenya. shame on ccm
 
mkuu elimu ya awali kabla ya chuo bure inawezekana na chenji inabaki,ni mfumo tu
 
Elimu ya bure inawekana, CCM hawataki kwasababu watoto wa vigogo hawasomi shule za seriakali hivyo ikiwa elimu ni bure wao hawatafaidi chochote kwahiyo ni heri ziwe za kulipia ili masikini wateseke.
 
kumbuka matajiri wanashamiri zaidi pale penye maskini wengi! Simple

Aisee Gad O hii si kweli ni ulewa wao mdogo tuu! hakuna kitu kama hicho, labda uniambie washerehekea mfumo wa kifalme ambao familia zao hazitakutana na ushindani wowote lakini kwa Taifa huo ni uchafu uliokithiri na kwao wenyewe ni hatari tupu! Wataishi kama swala porini.
 


Nashangaa JK alimbeza Dr Slaa kwa sera ya elimu bure, lakini wakati huo huo yeye alishasema atagawa kompyuta kwa kila mwanafunzi na laptop kwa kila mwalimu. sasa mimi najiuliza, gharama za laptop na kompyuta pamoja na kuweka umeme shule zote nchi nzima pamoja na madesk ya kuwekea kompyuta, si ni sawa na elimu bure na chenji juu?
 
hivi kuanzia miaka ya mwanzoni mwa themanini kurudi nyuma nani alisoma kwa ada??
sera ya kuchangia ilikja wakati wa mwinyi na huduma za mashule ndo zikazorota kabisaa
 
Back
Top Bottom