Dr. Slaa alikataliwa Jimboni kwake: Tazama ushahidi wa uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
Mkuu, wewe ndo una akili finyu ambaye upo kupingana na ukweli
Mkuu Lizaboni tatizo hawapendi ukweli, wanafikiri kujadili JF ndio inachukuwa taswira ya nchi nzima ilivyo.........baada ya uchaguzi wao povu tu kwamba kura zimeibwa.
 
Naona watu aidha kwa makusudi au kwa kutokuelewa kinachoendelea ndani ya Chama wameamua kuchagua angle wanayotaka wao ya kuijadili katika huu mjadala mpana wa matokeo ya Urais katika Mikoa ya Kigoma na Kanda ya Kaskazini.Naona wameamua kuchagua angle ya ukanda kwamba matokeo hayo inadhihirisha kuwa Chadema siyo Chama cha kikanda kama Wapinzani wao wanavyojaribu kuwapakazia,Wakati huo huo wakiamua kufumbia macho uwezekano wa kwamba TOP GUNS wa Chadema yaani Mbowe na Mtei ambao wanatokea Kilimanjaro huenda walimhujumu Dr Slaa kule Kilimanjaro kwasababu wanazozifahamu wao wenyewe na ndio maana Dr Slaa alipata matokeo mabovu sana Kilimanjaro kuliko hata Kigoma.I am trying to view this election stuff in 3D!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom