Dr. Slaa alikataliwa Jimboni kwake: Tazama ushahidi wa uchaguzi 2010

Status
Not open for further replies.
hata jimbo la MANYOVU yule anayejiita OBAMA wa ccm alimuibia kura BUDIDA wa cdm... kigoma walisha yachoka maccm cjui mikoa mingine mnasubiri nini
 
jimbo la MANYOVU limenifurahisha sana... walimpigia kura za kutosha dokta
 
mtoa mada mbona umetoa matokeo ya kasulu tu.. vp kibondo,kigoma mjini na vijijini

Mjadara umeanzia kasulu naweka sasa hivi.

KIGOMA
MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI
KIGOMA MJINI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM30,40270.44
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA10,89125.23
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF8271.92
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI1230.28
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO1160.27
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP110.03
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP90.02
SPOILT VOTES 7821.81
TOTALS 43,161100
WILAYA YA KASULU
KASULU MJINI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA18,33653.69
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM13,48039.47
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI5381.58
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF4571.34
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO3431
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP660.19
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP500.15
SPOILT VOTES 8822.58
TOTALS 34,152100
KASULU VIJIJINI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA22,69846.44
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM22,21945.46
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI1,1322.32
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF7021.44
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO5831.19
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP1360.28
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP920.19
SPOILT VOTES 1,3152.69
TOTALS 48,877100
MANYOVU
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA27,22457.43
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM17,50636.93
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO6031.27
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF4310.91
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI3680.78
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP890.19
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP750.16
SPOILT VOTES 1,1062.33
TOTALS 47,402100
WILAYA YA KIBONDO
BUYUNGU
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM15,60946.27
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA15,52146.01
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO5121.52
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI3190.95
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF3000.89
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP950.28
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP580.17
SPOILT VOTES 1,3203.91
TOTALS 33,734100
MUHAMBWE
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA20,98146.38
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM20,39445.08
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI7081.56
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO6851.51
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF6211.37
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP1020.23
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP1010.22
SPOILT VOTES 1,6503.65
TOTALS 45,242100
WILAYA YA KIGOMA
KIGOMA KASKAZINI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM30,37062.98
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA14,78330.66
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF1,6943.51
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO2440.51
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI860.18
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP260.05
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP210.04
SPOILT VOTES 9962.07
TOTALS 48,220100
KIGOMA KUSINI
CandidatePolitical PartyNumber of VotesPercentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHOCCM33,87258.87
SLAA WILLIBROD PETERCHADEMA18,45832.08
LIPUMBA IBRAHIM HARUNACUF2,0933.64
RUNGWE HASHIM SPUNDANCCR-MAGEUZI1,0861.89
KUGA PETER MZIRAYAPPT - MAENDELEO5620.98
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWAUPDP1150.2
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATTTLP830.14
SPOILT VOTES 1,2722.21
TOTALS 57,541100
 
Mleta mada usidhani hapa umeaminisha uma kwamba Zito ni wa muhimu, la hasha! ulichofanya ni kuisaidia chadema kwamba sio chama cha kikanda wala kikabila, ndio maana mnaosema ni watu wa kaskazini mmeumbuka kwa kuona matokeo ni kinyume.. kaskazi imefeli, mashariki, kusini na magharibi imeshinda.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
nawe umedhibitisha IQ yako ni below minus jifunze kuficha u.pu.mbavu wako kuweka hadharani sio sifa na pia sio lazima uanzishe threat unaweza kuwa msomaji au kuosha vyombo mpaka ukiwa na hoja ndo uandike

Teh teh teh nawewe perfect "threat" manaake ndio nn hapo
 
Dah! CCM wanahaki ya kumchukia Dr. Slaa. Kumbe ni kweli 'alimshinda' JK kwenye ule uchaguzi wa mwaka 2010!
 
Dah! CCM wanahaki ya kumchukia Dr. Slaa. Kumbe ni kweli 'alimshinda' JK kwenye ule uchaguzi wa mwaka 2010!
 
Rutajuaje kuwa hayo yaliyonyofolewa si yale yaliyochakachuliwa? Maana CHADEMA waliandaa matokeo yao feki kuhalalisha upumbavu wao

Mzee hongera kwa kuwapa tuition ya past paper ya 2010. Kwa wenye akili timamu watajua nguvu ya zitto. Kote alikopata kula ni alikopiga zitto kampeni ama alikojipigia mwenyewe marking scheme inawaumbua.
Zitto ndio anaibeba cdm wenye mihemuko wajifarague wapendavyo.
 
Hakika kwa takwimu hizi, ni hatari sana kumfukuza Zitto
Msipomfukuza tutapoteza Tanganyika nzima, kumbuka tupo wengi nchi nzima tunaosema akibaki Zitto sisi tunabaki hatuna chama, hatuwezi kukaa nyumba moja na msaliti, hiyo haina maana - Chama kitapoteza mwelekeo.
Ndio maana tunasema maamuzi magumu yanatakiwa kama mbwai iwe hivyo na Mungu kila siku husimama upande wa haki na sio kwa mnafiki.
Msihofie sana kura za Kigoma, kitaeleweka tu baada ya M4c kupita na elimu kutolewa vizuri naamini kuna watu wana akili zao wataelewa ukweli ni upi na mkiwa chini ya ukweli CDM msihofie kushindwa chochote!.
 
Aisee..inahitaji uwe na kichwa cha msukule ili usizitilie maanane takwimu hizi za ukweli
 
Hivi dr. Silaa anatoka jimbo lipi kati ya haya yaliyotajwa ili kuthibitishwa kuwa alikataliwa kwao?. Na je mtoa hoja una kumbukumbu za uchakachuliwaji mkubwa uliofanyaka katika uchaguzi huo.
 
Wakuu kule ambako muasisi wa CDM mzee mtei anaishi CDM ilikataliwa, kwa hiyo CDM inakubalika magharibi, Kusini na Mashariki ambako wanapingana na kamati kuu, wakimfukuza zzk kasakazini ni wafanya maanadamano tu.
 
Nimeipenda post yako..
Sasa ni kwamba:
1. Tunaposema Zitto si lazima hatumaanishi kuwa Zitto ndiye Kigoma...Kama Zitto ndiye Kigoma, basi Kigoma haipo-ni ya kufikirika
2. Takwimu zako zinakuonesha jambo ambalo kwa akili finyu huwezi kulielewa...nalo ni:
a)CHADEMA siyo chama cha wachaga ndiyo maana walipata kura chache kwa "wachaga"...
b)Idadi ya kura za Dr.Slaa zinaamuliwa na idadi ya kura zilizopigwa pia...Waliopiga kura Karatu na wale wa majimbo ya Kigoma ni tofauti sana
c)Pamoja na kupata kura "chache" Karatu, jimbo na halmashauri vinaongozwa na CHADEMA...
d) Slaa alipata kura nyingi kwenye majimbo yenye wabunge na madiwani wengi wa vyama vyingine...
e) Slaa alipata kura chache na madiwani wachache kwenye jimbo la Zitto
f) Slaa alipata kura "chache" jimboni kwa Mbowe ILA CHADEMA ikapata mbunge na madiwani wengi
Takwimu ni zaidi ya tarakimu aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom