Dr Slaa akishinda Uraisi ataongeza serekali bila wabunge wa kutosha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa akishinda Uraisi ataongeza serekali bila wabunge wa kutosha?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lucchese DeCavalcante, Oct 25, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwenye majimbo 289 ya uchaguzi, CCM wamasimamisha wagombea majimbo yote, sisi wapinzani tumesimamisha majimbo 180, maanaake majimbo 109 tumeyasamehe, na katika hayo inasemekana kuna upinzai wa nguvu majimbo 70, kwa maana nyengine inaweza kuotokea CCM wakakosa majimbo 70, na wakapata 219, tutaongoza Serikali vipi?

  Mmh, mimi siamini kama upinzani tutapata hata asilimia 30 ya viti vya ubunge??.
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wasiwasi kama huo wanaowatu walioko nje ya JF, wewe umeingiaje humu! au na wewe ni MSugu.
  Anyway wewe mchague Dr. Slaa maana watu wote wanamuunga mkono, hata kama si direct. mambo atakayofanya wooote watakubali na wala hakutakuwa na ubaguzi na nchi itaamuka, itatembea, na kuruka kutoka sasa ilivyo usingizini
   
 3. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umeanza kukubaliana na ccm eeh.safi nyumbani ni nyumbani
   
 4. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Nilisoma sehemu hapa jamvini, wabunge 17 wa ccm wamepita bila kupingwa na majimbo ya uchaguzi 232.Sasa wabunge 109 wa ccm wamepita bila kupingwa na majimbo ya uchaguzi 289 sijui umetoa wapi?
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwani Cameroon anaongozaje serikali Uingereza...Kwani kuwa na wabunge wengi ndo nini? hata awe na wabunge wa 3 serikali itaundwa tu...kuna faida gani ya kuwa na wabunge wengi halafu unakuwa na waziri kama KAMARA na MASHA
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako kuna wabunge wako CCM wana ham kweli ya kuona Dr. Slaa anakuwa rais wao.

  Wewe kapige kura, mchague Dr. Slaa. That is very important for your future.
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Kwani mwenzetu unahitahi wabunge wangapi kuunda serikali??? Kama kweli wewe ni mfuatiliaji uatajua Slaa ameahidi serikali ndogo hivyo wabunge 20 wanamtosha kuunda balaza, vilevile atakuwa na nafasi kumi zaidi ambazo atatumia kuchagua wabunge.

  Mambo ya balaza la mawaziri 60 limepitwa na wakati na ni la kiCCM tu.
   
 8. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yan wewe kilaza tena wa mwisho kabsaaaaa...
  Ndo mana hata hapo kwnye profile yko umetuwekea jina .. Au unatafuta mme wa kukuoa??? Kaa ccm yko watakuoa na kukupa nafas nzuri tu kwnye serikali
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hapo umenena mkuu MASHA na KAMARA ni wabunge wa hovyo sijawahi ona ila kwa mfumo wa uendeshaji wa serikali yetu maamuzi na sheria zinatungwa na kupitishwa na bunge huoni kama Dr. Slaa atakuwa Raisi na kuwa na wabunge wengi atakwamishwa na idadi wa wabunge lukuki wa CCM
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Utabiri wa shehe Yahya utatimia: Serikali ya mseto! Au umesahau alivyosema?
   
 11. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nenda kajipange upya halafu uje hapa kueneza upupu.

  Tanzania gani hiyo yenye majimbo ya uchaguzi 289? Tuki-assume kwamba uko sahihi kwa maana ya upinzani kusimamisha wagombea 180 ina maana wabunge wa ccm 109 wamepita bila kupingwa, lakini kinachojulikana ni kwamba wabunge wa ccm waliopita bila kupingwa ni 19, au hizi tarakimu zinakupa shida kiasi kwamba huoni tofauti ya 19 na 109? kazi kweli kweli.
   
 12. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona CCM pia kuna akina Mwakyembe wengi tu? au unadhani Dr. hawajui?
   
 13. v

  vickitah Senior Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mkurugenzi umezidi woga, afu mbaya zaidi vitu unavyoviogopa naona km havikuhusu hivi' sasa kwa mfano suala la jamaa ataongozaje nchi si tunamuachia yeye sasa.. si kazi yetu kusikiliza sera na kupiga kura kwa mtu tunayemuamini afu yeye sasa ata km ana mbunge mmoja ndo atajua nchi inaendaje' Haya mambo ya watu kudeuka watabiri wakati uchaguz wenyewe kesho kutwa tu si mpango wala nin'
   
 14. m

  masaiti Senior Member

  #14
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Pata data za uhakika,
  Katika Uchaguzi wa mwaka 2010 Tanzania itakuwa na majimbo 233 kati ya hayo majimbo 188 yapo Tanzania Bara na majimbo 45 yapo Tanzania Visiwani. Pia kuna viti maalum 75 na rais mtarajiwa ana nafasi ya kuteua wabunge 10.
  Hivyo basi Chadema katika majimbo 233 wamesimamisha wagombea 180, ambao ni wengi kabisa

   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Alipokuwa anaongea na Kinana kwenye mdahalo wa Star TV Kinana alilileta swali hili kama Mfunyukuzi alivyolileta (Nadhani sio Kinana anayetumia jina hili) Dr Slaa alimfanunulia vizuri kuhusu sheria inavyosema katika hili kwa hiyo Mfunyukuzi waombe Star TV wakupe clip utapata jibu uusitusumbue hapa na propaganda za kijinga
   
 16. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #16
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180

  Ndani ya CCm tunao wabunge kibao mfano 1-Olesendeka 2- Magufuli 3-Anne kilango 4-Mwakyembe pia unaweza kuendeleza list kwa hiyo usiogope sisi kuunda serikali kwani wengi wa wabunge wa ccm wanaipinga CCM ila hawataki kusema waziwazi kwa sasa muda ukifika utawafamu.
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahhaaa!
  hii inaitwa propaganda ya brown bread......eti.... sisi tumesimamisha wagombea 180...nyie nani? unweza kutoa kauli ya kujikatisha tamaa wewe mwenyewe?
  CRAP!
   
 18. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mfukunyuzi,

  Katiba yetu haina idadi ya wizara kwa hio hata wizara kumi na tano zinatosha hasa ikizingatiwa tuna wabunge 10 kwa nafasi ya kuteuliwa.

  Chama tawala kikiwa na wapinzani wengi bungeni ndio tunaleta UTAWALA wa SHERIA kwani serikali ikifanya nyoko ni rahisio kuondolewa sio kama sasa kulinda maslahi ya chama kuliko taifa.

  Kimsingi ningependa ikawa hivyo. Bila uwajibikaji madhubuti ya serikali, bunge na mahakama hakuna utawala wa sheria.

  Sidhani kama ni kwa maslahi ya wananchi hakuna mbunge wakugomea ila kama ni maslahi ya watu binafsi utaona cheche.
   
Loading...