Dr. Slaa akinywa kahawa na Binti wa Kiarabu..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Nabata ushungu..
dr slaha.jpg
 
:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:

Anaandaliwa rasmi huyo. Msije mkashangaa akija kufanya mambo kinyume na matarajio ya watu.
 
Huyo mwarabu ni owner wa Abla hotels where Dk Slaa have been staying for a while, na huyo mwingine I believe ni wife wa Mzee wa Abla hotels
 
Huyo mwarabu ni owner wa Abla hotels where Dk Slaa have been staying for a while, na huyo mwingine I believe ni wife wa Mzee wa Abla hotels

Ila padili kidogo sio unaona hazeeki maini...anatizama kwa declination na azimuth fresh kabisa.
 
Tazameni NGUO na VIATU alivyovaa Dr. Slaa kama ni kweli. Vyote ni MADE IN TANZANIA kama sikosei.

Safi sana Dr. Kwa kukuza na kusaidia soko la ndani na siyo wanaovaa misuti ya kushonewa mtaa gani sijui pale London?

Kwa kuvaa hizo nguo na viatu, alitoa ajira kadhaa kwa Watanzania. HONGERA SANA DR. SLAA
 
Huyo ni Slaha kweli...ila SLAA yupo hapa dsm katoa onyo kali kweli kwa jk kwamba asifanye mzaa na maisha ya watanzania..
 
Picha hiyo ni ya kutengenezwa, kichwa kimechomekwa cha Slaa wakati kiwiliwili ni cha ustaadhi fulani.

Slaa hana miguu myembamba hivi, Slaa amejaza miguu. Halafu anaonekana ni mrefu na mwenye miguu myembamba na mirefu wakati Slaa ni wa kimo cha wastani na miguu iliyojaza kiasi.

Aliyechomekea kichwa cha Slaa amefanikiwa mandhari lakini picha ya mshusika ameangukia pua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom